Recent content by FELIPE

  1. F

    JamiiForums Tanzania Waumini wa KKKT Kijitonyama waanza kuulizwa namba za Bahasha za Sadaka mlangoni

    Bagonza yupo Karagwe lakini anasikika nchi nzima kuliko waliopo Azania Front. Kama Mungu ameweka kitu kwa mtu binadamu wanajisumbua sana.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

    Umeandika kwa ushabiki sana. Hili kanisa (viongozi) hawapendi wachungaji wenye maono. Unamwongelea Kimaro na Mtasai these guys have visions angalia impact kwenye sharika zao. Mnataka wachungaji wanaosinzia.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa utagaji wa kuku aina ya Kuroiler na SASSO

    kroiler ni watagaji wazuri sana, changamoto ni soko la mayai. Ukiuza mayai ya kroiler kwa bei kama ya mayai ya layers huwezi pata faida na wateja wengi uswazi watapendelea mayai cheap ya layers. Lakini kama una wateja wako wa mayai ya chotara watako weza kununua kwa sh 12,000 hadi 15,000 kwa...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia: Nyanda za Juu tumechoka kuwa washangiliaji na sisi tunataka treni ya umeme kama 'Wenzetu'

    Mbeya NewForce golden deer zatosha.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Ulaya yazuia matumizi ya chanjo ya Astra Zeneca, Rais Magufuli alikuwa sahihi kutokimbilia chanjo

    Mtoa mada unafahamu kuna chanjo ngapi za COVID ukiacha hiyo Astra Zeneca? siyo kila chanjo ya COVID ni Astra Zeneca. Tofautisha sayansi na siasa.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Ulaya yazuia matumizi ya chanjo ya Astra Zeneca, Rais Magufuli alikuwa sahihi kutokimbilia chanjo

    Alikuwa sahihi kusikilizia kwanza madhara ya chanjo, alichokosea ni kukebehi na kuponda hadharini wakati hakuna nchi iliyolazimishwa kuchuka chanjo. Haikutakiwa kuwaponda na kuwakebehi wakati chanjo zote za watoto zinatoka kwao. Ilitakiwa tuseme kwamba bado tunajiridhisha kwanza.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima, mahubiri yako ya jana tarehe 7 Machi, 2021 yana walakini

    hivi bado kuna watu wanamwamini huyu jamaa, dah!
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mwakalebela: TFF haitutendei haki

    Mbona Yanga tumeanza kupoteana mapema hivyo? tatizo tunataka kujenga timu ya kisasa afu tunawapa nafasi watu kama Mwakalebela.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Tuliambiwa Mzee Yusuph anarudi kwa kasi ya ajabu, sijafanikiwa kusikia chochote hadi sasa

    ameshaanza jmosi hii atakuwa Soweto Park Malamba Mawili.
  10. F

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kusikitisha: Binti akiri kuwa alisingizia kubakwa na kupelekea mbakaji kufungwa jela miaka 60

    Kwani ilikuwepo hiyo ripoti ya mkemia? Huifahamu vizuri Tanzania, kesi nyingi zinahukumiwa bila hivyo vipimo vya DNA.
  11. F

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima afafanua dawa ya asili ya Corona (NIMRCAF), waweza itengeneza mwenyewe nyumbani

    Madaktari nisaidieni kujua, kwanini nchi za kiafrika hazifanyi research ya chanjo kama Ulaya na Asia wanvyofanya? ili tuwe na chanjo zetu?
  12. F

    JamiiForums Tanzania Hakuna redio inaomba sadaka kama Upendo FM

    kama unasikiliza na sadaka hutoi siyo vizuri, bora uskilize TBC inayoendeshwa kwa kodi yako.
  13. F

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Nandy na Zuchu nani mkali?

    Huyu Zuchu ni nani na katoa nyimbo gani?
Back
Top Bottom