Waziri Gwajima afafanua dawa ya asili ya Corona (NIMRCAF), waweza itengeneza mwenyewe nyumbani

Madaktari nisaidieni kujua, kwanini nchi za kiafrika hazifanyi research ya chanjo kama Ulaya na Asia wanvyofanya? ili tuwe na chanjo zetu?
 
Wakenya wameipokea hii dawa yetu kwa mikono miwili mombasa ni gumzo wakiisifu serikali ya Tanzania kwa kujali na kutafutia dawa watu wake .Masokoni watu wanataka tangawizi na malimao kwa wingi hasa wafanyabiashara wa Tanzani fursa hiyo waziri wa afya kawafungulia soko kenya
 
Nimr nayo ina wanasayansi ama waganga wa kienyeji?. Unajua maana ya sayansi?

Kitu chochote ili kiwe cha kisayansi lazima kiwe na universality, replicability, sasa ulisikia watu gani wengine Duniani wamesema chumvi, pilipili, kitunguu maji, kitunguu saumu, majani ya mlimao yanatibu corona?
Kuna watu wamepinga?
 
10. Kumrejesha mke au mume aliyekukimbia.
11. Mke au mume kukupenda, a.k.a. limbwata.
12. Kuona wachawi.
13. Misukule
14. n.k.

Hahaa.

Mkuu umesahau “kurekebisha nyota”!

Ila kwa kweli hii nchi ina vituko.

Watu wenye MDs na Phds lakini scientific literacy ni zero.
 
Duniani hakuna nwenye hati niliki kuliko mwingine ya kugundua dawa wazungu wamekaa Arusha kibao wakiishi na wamasai lengo kuu kujua kwa nini masai haugui wakati anakula nyama sana kama chakula kikuu, anaishi mazingira machafu ,akinywa nasi machafu na kuishi maeneo mabaya lakini ana afya bora

Wanahangaika hadi kuishi nai majumbani kama watalii yaani homestay ili wajue siri za dawa zao waibe sababu hazina hatimiliki ili wakatengeneze kwao watuletee kwa gharama ya kufa mtu

Hoi dawa yetu tumeachilia formula bure ili tuokoe dunia isiangamie Mungu ataibariki Tanzania sana.Sababu hatujawekea mtu masharti yeyote kwenye uso wa dunia aweza tengeneza akatumia ikaokoa maisha yake. Tanzania tumetoa sadaka kwa dunia kuiokoa dunia
Hakika kama nchi tujiandae kubarikiwa mno na akina Billy Gates na chanjo zao wajiandae kufilisika kwa kwa jina la Yesu
Hhhhh yani umeharibu hapo uliposema kwamba billgate afurisike it means unaonesha wivu plus yesu gani anataka uwaombee watu mabaya. Turudi hapo kwenye dawa hata kama dawa baadhi zinatengenezwa kwa mitishamba ishu inakuja dawa inaangaliwa vitu vingi kama vile magroup ya watumiaji kwa mfano hiyo dawa mtoto mdogo hawezi tumia mtu mwenye vidonda vya tumbo hawezi gusa hata ukisema utoe pilipili still vidonda vya ukweli tangawizi limao n tatizo. Halafu wenzetu wakitaka kutengeneza dawa hata kama ni kutokana na miti hawawezi chukua limzizi lote alafu ndo uliweke tumboni hapana unachukua kile kiini kinachofanya umuhimu ya huo mzizi na hilo ndo tatizo la dawa za asili ila ni nzuri
 
Nimr nayo ina wanasayansi ama waganga wa kienyeji?😂. Unajua maana ya sayansi?

Kitu chochote ili kiwe cha kisayansi lazima kiwe na universality, replicability, sasa ulisikia watu gani wengine Duniani wamesema chumvi, pilipili, kitunguu maji, kitunguu saumu, majani ya mlimao yanatibu corona?
Hawa ni matapeli wa maisha ya watu
 
Wewe ukoloni wa kizungu umekujaa kichwani

Dawa za asili za kichina ziko universaly accepted? au za kimasai? au za kihindi au za kiarabu?
Tatizo lako much know, unazijua vizuri dawa za asili za kichina au umekurupuka toka usingizini. Hichi anachokifanya Gwajima amethibitisha wapi kuwa kinafanya kazi. Mnaenda kulisha watu pilipili kichaa. Hamna akili nzuri nyie
 
Dawa ya corona haijapatikana ngoja ikupate kama hutakula pilipili kama mwehu sababu kifo unakiona hicho kwa macho mawili
 
Kongo, wewe ndiye hujui kuwa hujui. Hapa Tanzania yanachimbwa wapi? au unaota
Kabanga mkoa wa kagera yapo wewe ndio hujui unajua zaidi mambo ya kongo kuliko uko kama Lisu anajua sana mambo ya wakili Mzungu Amsterdam kuliko mawakili waswahili
 
Dawa ya corona haijapatikana ngoja ikupate kama hutakula pilipili kama mwehu sababu kifo unakiona hicho kwa macho mawili
Nakwambia tena unajifanya much know sana mkuu, halafu mambo mengi uko empty kabisa. Nyie mnasema corona haipo. mnawaletea watu dawa zenu za akina kalumanzila. Akili zenu mnazijua wenyewe, chanjo mnaikataa mnabaki kusumbua wananchi na madawa yenu ya kienyeji yasiyo hata na formula inayoeleweka na hayajajaribiwa kokote
 
Kabanga mkoa wa kagera yapo wewe ndio hujui unajua zaidi mambo ya kongo kuliko uko kama Lisu anajua sana mambo ya wakili Mzungu Amsterdam kuliko mawakili waswahili
Hayo madini madini yenu ambayo jiwe aliyaita ya bati ndo unaota
 
Nakwambia tena unajifanya much know sana mkuu, halafu mambo mengi uko empty kabisa. Nyie mnasema corona haipo. mnawaletea watu dawa zenu za akina kalumanzila. Akili zenu mnazijua wenyewe, chanjo mnaikataa mnabaki kusumbua wananchi na madawa yenu ya kienyeji yasiyo hata na formula inayoeleweka na hayajajaribiwa kokote
Nenda NIMR uone umati uliofurika kununua hiyo dawa

Nenda kenya au uliza mtu yeyote Kenya Malimao,tangawizi nk vitengeneza hii dawa yetu kenya wanagombea bei juu na havipatikani wakenya wameikubali wewe kaa unabweka hapo
 
Nyie manyang'au mneniulia wazee wangu watatu ndani ya mwezi January tu kwa sababu ya ushenzi wa huyo mkulu wenu. Natamani hata siku moja nirevenge hata kama itapita miaka mingapi. Jinga kabisa nyie
 
Ku
Kwani simu hazina mabati angalia sehemu unayopachika laini zako za simu kuna kitu gani.
mbe hata hujui madini muhimu kabisa kwenye simu, unaongelea mabati yanayopatikana nchi kibao. Madini muhimu kabisa yanatoka Kongo pekee. Google alafu uwe unakubali kujifunza
 
Nyie manyang'au mneniulia wazee wangu watatu ndani ya mwezi January tu kwa sababu ya ushenzi wa huyo mkulu wenu. Natamani hata siku moja nirevenge hata kama itapita miaka mingapi. Jinga kabisa nyie
Tutajie majina yao mtaa walipokuwa wanaishi kazi zao kabila nk tuhakiki kuanzia kwa ndugu ,majirani,wazee wenzao ,marafiki,madaktari nk
Wew kibaraka agent wa dawa za wazungu tu huna lolote

Tanzania safari hii mtatujua sisi ni mami waambie mabwana zako wazungu waliokutuma uponde dawa zetu tuchukue zao kuwa kwenye Corona kwa Tanzania wamekwaa kisiki
 
Ku

mbe hata hujui madini muhimu kabisa kwenye simu, unaongelea mabati yanayopatikana nchi kibao. Madini muhimu kabisa yanatoka Kongo pekee. Google alafu uwe unakubali kujifunza
Na wewe hujui unadhani lile bati la kuweka simu card ni hilo unaloezeka kwenye nyumba pole kwa ujinga uliokujaa
 
Back
Top Bottom