Recent content by Feberia

  1. Feberia

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mtandao wa Tigo umefanya mabadiliko ya Vifurushi kimyakimya?

    Maadamu sio ndoa unaachana nao tu wakikimbiwa ndio watajifunza
  2. Feberia

    JamiiForums Tanzania Updates za kifo cha Afande Luteni Kanali Muna aliyeuawa Kawe kwa kuchomwa kisu na dereva bajaji Kato

    Wanawapiga walipa kodi ambayo ndio mishahara yao? Ndio mzee JPM hakutaka ujinga huu
  3. Feberia

    JamiiForums Tanzania Miaka miwili ameondoka Hayati Magufuli mnamchafua bila Uthibitisho

    Mkuu hebu fikiria IPTL walivyopiga hela jamaa aliwapoteza kabisa na salama kabisa
  4. Feberia

    JamiiForums Tanzania Namtetea mtoto wa Simbachawene, askari wachunguzwe

    Kwann watoe clip au warekodi? Tcra wamekaa kimya wanasubiri sisi paukwa tupogwe fine
  5. Feberia

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa GB whatsapp msaada unahitajika

    Wakuu habari Naomba msaada wa kupata LINK ya kudowload GB whatsapp Natanguliza shukrani
  6. Feberia

    JamiiForums Tanzania Songwe: Basi la Kampuni ya Kilimanjaro Express lapata ajali, watu wanne wafariki dunia

    Mkuu haya mabasi wamesharudisha mchezo wakufunga engine za malori
  7. Feberia

    JamiiForums Tanzania Manara kabadilika sana

    Kabwili fc sheria zipi? Wanababaisha tu hawawezi zungumza na mchezaji kuvunja mkataba wa timu yake alafu Umemsaini kwa vile Azam fc waungwana
  8. Feberia

    JamiiForums Tanzania Azam Vs Dstv : Mbona kama Azam wana 90% ya Maudhui ya Kiarabu?

    Kusema jambo ni haki yako maana ni uhuru, Azam wanaonyesha maudhui mengi sana inategemea unayapenda yapi¡ Dini unazipata miziki unapata movie cartoon habari sasa mlaji ndio unapenda kp? Kwa maana hyo unaweza ukauliza kwann Tumaini tv muda woote wanasema hivi au Iman tv kama hutaki usiweke...
  9. Feberia

    JamiiForums Tanzania GB WhatsApp vs FM WhatsApp

    Msaada wa LINK tuipate download
  10. Feberia

    JamiiForums Tanzania WhatsApp Ban

    Hata mm mwenyewe natumia gb whatsapp sasa imegoma haifunguki naambiwa imekwisha toka 6 Dec 21.
  11. Feberia

    JamiiForums Tanzania Habari wakuu

    Msaada kidogo natumia GB whatsapp leo hii imegoma naambiwa niupdate wakati nimeiupdate na mwisho inadai ni 6 Dec 2021
  12. Feberia

    JamiiForums Tanzania WhatsApp imeweka mfumo wa "Disappearing Messages" kwa chatting mpya

    Kwangu imegoma inadai mwisho 6 dec 2021
  13. Feberia

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kufanya ziara ya siku 3 Nchini Misri

    Tukuombee nawe uupate Urais
  14. Feberia

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu kuomba World Vision mshirikiane kujenga madarasa tozo mnapeleka wapi

    Kwani tozo zinafanyaje? Sipati jibu kwan JPM alipata wapi hela akafanya kazi zake?
  15. Feberia

    JamiiForums Tanzania CCM, elimu bure iko wapi?

    Iringa huku Dawati limeandikwa kwa pen sio mashine kama maandishi mengine ama kweli wanasiasa Mungu anawaona
Back
Top Bottom