Tshansimba Mubadi
New Member
- Aug 28, 2021
- 1
- 4
Mimi ni mfanyabiashara mdogo nayetumia zaidi WhatsApp Kama njia ya kupata wateja wapya kila siku, ila tangu Hii Sheria mpya iingie inayokataza kuwatumia Txt watu wapya ambao hawajasave namba yako imekuwa changamoto Sana, ukifanya hvyo tu unafungiwa...
Naomba msaada kama Kuna njia naweza kutumia kutext watu wapya bila kufungiwa
Natanguliza Shukrani
Naomba msaada kama Kuna njia naweza kutumia kutext watu wapya bila kufungiwa
Natanguliza Shukrani