MOHAMED DEWJI ADUI ZAKO NI TRY AGAIN NA MANGUNGU SIYO WANACHAMA WALA SI WASHABIKI WA SIMBA, UNAPOTAKA KULA LAZIMA ULIWE , WAWILI HAWA SIYO WALAJI BALI NI WALAFI,WAONDOKE SASA AMA WEWE MWENYEWE UKUBALI KUWAJIBIKA ONCE AND FOR ALL…..WASHAKUWEKA KONANI, SIMBA FANS WANAPUNGUKIWA IMANI NAWE…..EMBU...
SOUTH AFRICA WAMEFANYA HIVO JBURG,PRETORIA NA CAPETOWN HAWA WAMEIBEBA MIHIMILI YOTE YA NCHI KWA KILA MOJA KUWA NA MAHAKAMA, MWINGINE BUNGE NA MWINGINE IKULU YA NCHI
NI OMBI /SWALI KWA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
Rejea mapambano ya Uhuru na haki ya Watanzania, Muasisi wa Taifa hili alishitakiwa katika mahakma hapa Dar es Salaam, na sasa Serikali iko Dodoma je haoni kuwa itakuwa ni heshima kwa Dar es Salaam kuachiwa MUHIMILI mmoja wa Nchi ambao ni...
HOJA HII NI YA MOTO LAKINI TUNAHTAJI WAGOMBEA WOTE WAJITOKEZE HADHARANI WANA DHAMIRA GANI DHIDI YA WAHANGA WA MUUNGANIKO WA MIFUKO HII NA HATIMA ZA HAKI ZA MAFAO YA KUJITOA HASA SEKTA BINAFSI....
TUSUBIRI TUONEEEEE
Kwa niaba ya jamii zote mkoani morogoro hususani sisi walima mpunga wa bonde zima la mto kilombero tunaungana na rais magufuri ktk kipindi hiki kigumu kwa nchi yetu kwa kumpoteza rais ben mkapa. Tunawaomba watanzania na rais wetu kwa pamoja tukubali kuwa ni mapenzi ya mungu na sisi tunabaki...
for 15 yrs now he has been critic to Big Ben kila aandikapo makala ama platform....Lakini kweli apart from his ups n down against Mkapa anakuwaje na 80% negative on Mkapa
PAUL AMEPITIA MAMBO MENGI MAZITO NA MAGUMU NA KTK KIPINDI HICHOHICHO AMEIFIA NCHI, EMBU TUIACHE CCM IFANYE KAZI YAKE KAMA CHAMA NA TUMWACHE RAIS AENENDE KTK TAASISI KUU NCHINI KWA AMANI...TUSIISHI KWA DHANA NA TUTAMBUE SIASA SIYO USANII ,SIASA NI MAISHA YETU HALISI....KAMA MZEE PHARESY KABUYE...
Wana Jf , nasikitika kuwaarifu msiba wa Ndg Gottee Amefariki leo saa sita mchana Muhimbili-Mloganzila Wing,Ward Na6 Room 6 Magonjwa ya Ndani.
Tarehe 7 March 2020 ali-colapse na kupasuka mshipa damu kichwani, tukamkimbiza Sinza Palestina then Mwananyamala tarehe 08 mchana akahamia Mloganzila na...
Hebu Muogope Mungu na jifunze kuuhsshimu UKWELI ....kukiri kosa ni ushujaa na siyo kutafutiza mashindano ya tafsiri. General Secretary anapoongea ujue CHAMA CHETU KIMEONGEA .....JIFUNZE KUHESHIMU DHAMANA ZA CCM .....ipo ilikuwapo na itakuwapo ila sisi wanachamq wake tutapita
Rais naye ni binadamu ...kuna wakati analazimika kuachia hisia zake, tukubali tusikubali yeye ni binadamu na hiyo ni haki ya msingi aliyozaliwa nayo kila binadamu...Ziara yake Mbeya ina matukio mengi ya dharuraaa....na yamemuelekea direct JPM ....kwahiyo ni wazi na dhahiri kumuona JPM on full...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.