Masanja
JF-Expert Member
- Aug 1, 2007
- 4,820
- 8,886
Umebadili gear angani? mi nikajua uko Chato kwenye maombolezoMafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.
Ccm itaendelea kupeta
Umebadili gear angani? mi nikajua uko Chato kwenye maombolezoMafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.
Ccm itaendelea kupeta
Tunataka kujua pia Ripoti ya BOT mbona kawa kimya na haijatoka.Wajumbe.
Rais Samia Suluhu anazungumzia na wahariri leo mnamo saa 9 alasiri. Tukio hilo linafuatia Rais kumaliza siku 100 akiwa madarakani.
JamiiForums kama mdau mkuu wa habari humu nchini tupendekeze hapa maswali ambayo tungependa wahariri kamuulize mama . Japo siyo hayo lakini yenye mlengo huo
1. Rais uliahidi kukutana na wapinzani, Je ni lini hasa wananchi watarajie mkutano huu?
2. Wewe ulikuwa makamu mwenyekiti wa BMK Mchakato huo haujafikia mwisho bado. Je unawaahidi nini wa watanzania ili mchakato huo uwezo kukamilika na kuwapatia wananchi katiba mpya?
Ongeza mengine
Karibu.
tatzo hujui,ccm ni taasisi haiongozwi na mtu mmoja rais,usidhani kila analoongea mitaani litaafikiwa na ccm.ikiwa ni agenda yenye tija kwa taifa hakuna shida,Ila ikiwa ni kwaajir ya mtu au kikundi fulani ,haipenyi pale white house mkuu.Habari mbaya sana kwa MATAGA.
Mama anaupiga mwingi mnoo akina na polepole na kakurwa wanateseka sana awamu hii.View attachment 1833046
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe jipendekeze tu lakini Mama anawajuo wote chawa wa dhalim ambao mnamtengenezea zengwe. Na kwa taarifa yako awamu hii hakuna teuzi za kimalaya malaya kama alizokuwa anatoa yule ibilisi. Utadanga tu siku zote za maisha yakoMafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.
Ccm itaendelea kupeta
Huduma?walipata mafunzo ya kuuza biaNi lini atalifumua JESHI la Polisi ili kuunda HUDUMA ya Polisi hapa nchini?
ona ili jinga la kisukuma nalo!!Mafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.
Ccm itaendelea kupeta
kigogo je hatii taharuki?????1. Je, serikali yake imeshindwa kuwadhibiti hawa wanaojiita "Veronica France na Wachunguzi huru"
Ambao kila kukicha ni kuichafua serikali yake ikiwemo kuzusha taarifa za kuitia nchi kwenye taharuki?
Kuna wakati huwa kama umerogwa juu ya Lisu, aliwahi kukukopaaaa! Maana kika mjadala mwema wewe na Lisu tu.Mafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.
Ccm itaendelea kupeta
NI OMBI /SWALI KWA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSANWajumbe.
Rais Samia Suluhu anazungumzia na wahariri leo mnamo saa 9 alasiri. Tukio hilo linafuatia Rais kumaliza siku 100 akiwa madarakani.
JamiiForums kama mdau mkuu wa habari humu nchini tupendekeze hapa maswali ambayo tungependa wahariri kamuulize mama . Japo siyo hayo lakini yenye mlengo huo
1. Rais uliahidi kukutana na wapinzani, Je ni lini hasa wananchi watarajie mkutano huu?
2. Wewe ulikuwa makamu mwenyekiti wa BMK Mchakato huo haujafikia mwisho bado. Je unawaahidi nini wa watanzania ili mchakato huo uwezo kukamilika na kuwapatia wananchi katiba mpya?
Ongeza mengine
Karibu.
Achana nalo hilo dubwasha halna cha kuandika linaishia kumtaja mbowe na lisu tu.Kuna wakati huwa kama umerogwa juu ya Lisu, aliwahi kukukopaaaa! Maana kika mjadala mwema wewe na Lisu tu.
Achana nalo hilo dubwasha halna cha kuandika linaishia kumtaja mbowe na lisu tu.Kuna wakati huwa kama umerogwa juu ya Lisu, aliwahi kukukopaaaa! Maana kika mjadala mwema wewe na Lisu tu.
Wapi serikali imesema bandari itaanza kujengwa?Mtangulizi wake (hayati magufuli) aliukataa mkataba ya bandari ya bagamoy kwa kusema ni kicha pekee ndio angekubaliana na masharti yaliyomo katika mkataba huo. Leo tunaambiwa kuwa bandari ya bagamoyo itaanza kujengwa,
1) je, masharti hayo yamerekebishwa?
2) serikali iko tarari kuweka wazi mkataba huo kwa maslahi mapana ya taifa letu?
Kwamba wao ni wapinzani au?Habari mbaya sana kwa MATAGA.
Mama anaupiga mwingi mnoo akina na polepole na kakurwa wanateseka sana awamu hii.View attachment 1833046
Sent using Jamii Forums mobile app
Yakiulizwa haya umeme utakatwa nchi nzima! Kumbuka yale ya slaa wakati akiwa mwenyekiti wa LAC na lisu wakati anachangia BMK.1) Kati ya mambo yanayosababisha nchi kuwa ya wachuuzi badala ya wazalishaji, ni sheria za uwekezaji zinazobadilika mara kwa mara. Unaanza kujenga kiwanda sheria unaiona nzuri, unaezeka majengo, sheria imebadilika, unaagiza mitambo sheria imebadilika, unaanza uzalishaji sheria imebadilika. Ni lini Tanzania itakuwa na sheria ya uwekezaji ambayo haitabadilika ovyoovyo, angalao kwa miaka 20 ili wanaowekeza wasiwe na hofu ya chochote kutokea wakati wowote kikaathiri uwekezaji wao?
2) Kati ya mambo yanayofanya tuwe na sheria mbaya za kodi na uwekezaji, ni kuwa na watendaji wasiojua chochote kuhusu uwekezaji na biashara. Ni lini tutakuwa na sheria inayolazimisha watendaji wakuu wa masuala ya uwekezaji na kodi kuwa watu wenye uelewa wa kutosha kwenye sekta hizo badala ya kutizama uelekeo wao wa kisiasa?
3) Kulikuwa na hukumu ya mahakama iliyozuia wakurugenzi wa Wilaya kuwa wasimamizi wa uchaguzi kutokana na wao kuwa makada na hata ule utaratibu wao wa kuteuliwa. Lakini kwa sababu mahakama zetu zilikosa uhuru wakati wa awamu ya 5, hukumu ile iliyokuwa na mantiki ilifutwa. Je, ni nini unafikiria kukifanya ili Tume ya uchaguzi iwe huru kweli, na siyo huru kinadharia ka ilivyo sasa?