“Nimeishi na Edward Lowassa nyumba moja Dodoma kwa miaka 15. Namfahamu kuliko wengi. Alikuwa Kiongozi mwenye nidhamu ya hali ya juu, mwenye akili tulivu, mcha Mungu wa dhati, mnyenyekevu na mwenye kauli thabiti.
Nidhamu ndiyo jambo linalotofautisha umahiri wa Edward na wengine wengi. Taifa...