Recent content by Faxlex

  1. F

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Ni kweli take home ndio hiyo elewa take home sio basic maana basic yake kwa G1 1,735,000
  2. F

    JamiiForums Tanzania Safari ya kutoka Ushirombo Bukombe kwenda Meatu

    Karibu meatu nipo meatu hapo shukia shinyanga kuna gari zinakuja moja kwa moja mpaka meatu ndio kituo cha mwisho
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikutishia mimba anakuwa anayo kweli

    Sasa kama mtu unajijua hauwezi kulea kwann usimtoe mapema kabda hajaja kuteseke dunian
  4. F

    JamiiForums Tanzania Recategorization against current salary

    Hapo ww hamna unachofanya zaid ya kubadiri idara tuu mshahara hauongeze hata mia
  5. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu postigraduate diploma kubadilishiwa muundo

    Inawezekana kabisa kama unapenda kufanya kazi shulen tena usichelewe kwenda mwenyewe nilisoma diploma hiyo hiyo na nikaajiliwa na nimebadilishiwa muondo sema mm wakati naajiliwa nilikuwa tayari nina degree kwahiyo nilipodhibitishwa tukaanza mchakato but inahitaji force kidogo coz local mambo...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Madaktari na Wataalamu wa afya msaada wenu kwenye hili (uwezekano wa kupata ujauzito)

    Alikuwa anamalizia danger uwezekano upo piah anaweza asipate mimba maana danger ni kuanzia 20 hadi 25
  7. F

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma tupeane ushauri kuhusu mikopo inayotolewa na Taasisi mbali mbali za kifedha

    Kwa ww naona hauna haja ya kukopa kabisa una salary ndefu piah inaonekana upo taasisi nzuri ila sisi walimu lazima twende tukachukue mil 3
  8. F

    JamiiForums Tanzania Tulinganishe biashara na ajira hapa

    Inadepend ni biashara gani piah na ajira umeajiriwa sehemu gan au kitengo gan kama waliopo tbs au tira hao labda wafanyabiashara wakubwa ndio wa kulinganisha nao
  9. F

    JamiiForums Tanzania Nanunua laptop mbovu bei maelewano

    Mm nauza yangu
  10. F

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kozi ya biotechnology and laboratory sciences ni nzuri?

    Ina deal na laboratory za viwandani na kwenye research institutions ni coz nzuri
  11. F

    JamiiForums Tanzania Niulize swali lolote kuhusu uchumi au biashara

    Kwann serikali is print hela nyingi iache kukopa na itugawie wanannchi?
  12. F

    JamiiForums Tanzania Niulize swali lolote kuhusu uchumi au biashara

    Kwann mtumishi wa umma analipa kodi zote mbili directly tax PAYE na indirect tax anapo nunua bidhaa si kwamba anaibiwa au anaonewa??
  13. F

    JamiiForums Tanzania Hali tete Simiyu, wananchi wanalazimishwa kwenda kwenye ziara ya Rais Samia

    Ni kweli anatebisha hajui na afuatilii mambo anaona tuu yanatokea wilaya ya meatu madiwani walifanya ziara na kutangaza jumanne wagar yatawafuata vijijin hapa mjin wafanyabiashara wote wameambia hakuna kufungua siku ya jumanne
  14. F

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Kwan wanao ajiriwa office ya wazir mkuu salary zake zikoje
  15. F

    JamiiForums Tanzania Nalipiaje UTT kwa njia ya simu mbona naitafuta siipati

    *150*82# nunua vipande
Back
Top Bottom