Recent content by fauzia kasanda

  1. F

    JamiiForums Tanzania Vipi kuhusu hii bodi ya mikopo 2016

    bodi ya mkopo eleweken jaman.pia kama rais wetu alivyosema mwaka huu hakuna vigezo vya kuapply bali wote waliopo vyuon wapewe mkopo.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Uzushi kuhusu walimu kushonewa sare

    Mie napenda walimu tushonewe sare.ila tu baada ya serikali kumaliza matatizo ya walimu
  3. F

    JamiiForums Tanzania Wenye taarifa za matokeo ya walio appeal atujuze

    Duh yaan Mie hapa ni shida tupu.hiv kwel hawa loan bodi watatoa kweli mkopo kwa walio appeal. Maake ni mda sasa tangu tume appeal. Jaman tukumbuken mapema watt wa kimaskin tunaumia wenzenu
  4. F

    JamiiForums Tanzania BODI YA MIKOPO: Inatosha sasa!

    Pole sna ndugu.mimi mwenyewe hapa cjui nielekee wapi na nifanye nini.maana tangu tume appeal hakuna fununu yoyote ya majibu yetu.Tuhurumien bodi ya mikopo mtushughulikie haraka mtupe majibu yetu mapema ili tujue kama tunaacha chuo ama la.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Boom la kwanza TRANSFER Vyuoni

    Je sisi tulio-appeal majibu yetu lini watatoa.kwa anaefaham atujuze maana naona kimya tu au ndo tumeshachinjiwa baharin hivyo
  6. F

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo kuhusu Continuing Stedents na First year ambao hawakupata mkopo.

    Mie nilivyo ni kwamba wanachuo wite wa mwaka wa kwanza watalupiwa mkopo bubila kujali vigezo.uwe umemaliza mwaka 47elfu yaan miaka mitatu nyuma utapata mkopo.naomba watuwaishie huo mkopo ili tusajiriwe mapema.pia namshukuru makufuri kwa kuliona hilo.mungu ambaliki make ningeshindwa kusoma
  7. F

    JamiiForums Tanzania HESLB: Lot ya sita inatoka lini?

    Ni wajibu wao loanboard kututaka wenyewe watupe mkopo tusome.
  8. F

    JamiiForums Tanzania HESLB: Lot ya sita inatoka lini?

    mbona ktk hiyo lot ya tano kuna wanachuo walipata.na kama ijafunguka.inafunguka lini?
  9. F

    JamiiForums Tanzania HESLB: Lot ya sita inatoka lini?

    Mie nilijua weekend hii wanatoa majina ya lot ya sita lakin hadi sasa bado kimya.anae jua lot ya sita inatoka lini mtujulishe jaman
Back
Top Bottom