Vipi kuhusu hii bodi ya mikopo 2016

R100

JF-Expert Member
Sep 11, 2014
337
81
2974f36a2eec2dd547ea676682cdcd5a.jpg
 
kwan shida i wap? mkopo c kwa wewe tu uliemaliza form six kuna wengne pia wataanza kuapply pindi matokeo yatakapotoka na form six leaver wanaanza kuapply maana kufkia mwishon mwa mwez wa sita matokeo yatakuwa tayari.
 
Mm nashindwa kuelewa halafu na ww unasema tarehe 30 mwez wa sita matokeo yatakuwa yametoka
 
Kuna jamaa angu kutuma elfu 30000 jana bodi ya mkopo hadi leo hajarudishiwa txt
 
bodi ya mkopo eleweken jaman.pia kama rais wetu alivyosema mwaka huu hakuna vigezo vya kuapply bali wote waliopo vyuon wapewe mkopo.
 
Hujui wamefanyaje? Yaani hawajui hata sources za kupata habari za mkopo, wanaona source ni vigroup vyao vya WhatsApp wakati website ya heslb ipo na inapiga kazi.

Kweli mkuu, hiki kizazi ni WhatsApp oriented. Inasononesha sana mtu anapopokea taarifa zinazohusu bodi ya mikopo anashindwaje kwenda kuhakikisha kwenye tovuti rasmi ya bodi (www.heslb.go.tz). An interesting generation
 
Back
Top Bottom