Ndugu zangu watanzania !
Mimi sikuleta mada hii ili tujadili uhalali wa mwenge ,maana nitoe angalizo mapema,Bali hii habari ya kushona sare kila wilaya na aina yao.
Mimi naomba kwa kuwa bado tunapambana kuona uwezokano wa kurudisha thamani ya walimu kiuchumi ,nashauri tuwapunguzie gharama zisizo za lazima.
Maandalizi yote kama kunaulazima washiriki ila kuwalazimisha kuchangia mwenge na kununua sare (vitenge,t-shirts, na vitambaa vya kushona) .
Samahani kwa wale mliokuwa mnanufaika na tender ,bado hata ya maneno yangu yanaweza yasisike.
NB:Rais Magufuli tunakutegemea kutufikisha katika Usawa.
Karibuni si mbaya mkaeleza uzoefu wenu katika uvaaji wa sare hizi.