Recent content by fattys

  1. F

    Kwa hiki kilichototea bungeni. Je, kwa ubabe huu tunahitaji katiba mpya au Watanzania tuamke tudai nchi yetu?

    Elimu ya Uraia juu haki Elimu juu ya haki za Raia na Wajibu Mihimili ya Dola kwa Raia itolewe katika ngazi zote. Hayo yote lazima yasemwe na KATIBA . Katiba ndiyo inayotoa dira nini kifanyike na mwelekeo ni upi. 1. Kwa Mfano nini umhimu wa uchanguzi wa viongozi wa Kisiasa 2. Wajibu wao ni...
  2. F

    Waziri Gwajima: Kanda ya Ziwa, Kilimanjaro kumeathirika zaidi na Corona

    Kauli za kukizana za Wanasayansi zimeletelezea Misimamo tofauti ya Wanasiasa, Viongozi na Jamii yote kwa ujumla wake. Mkanganyiko upo kwenye Tiba , je tahadhari pekee yake inajitosheleza au chonjo ni jawabu? Je nchi iingie kwenye lockdown au maisha yaendelee? Kunapokuwa na taharuki na...
  3. F

    Spika Ndugai: Wabunge msitambulishe waume au wake za watu Bungeni

    Speaker hana uwezo tena wa kuongeza bunge. Mambo hayo alitakiwa wakae na Mbuge mhusika wayamalize. Kulisema ndani ya bunge ina tija gani? Kuna kitu hakipo sawa ndani ya kichwa cha Speaker.
  4. F

    Serikali ya Tanzania yatuhumiwa na Waziri wa Uganda kuhusu kulazimisha wakimbizi kuondoka nchini

    Waziri huyo hajitambui. Kama Wakimbizi wameondoka Tanzania na kisha baadaye wakaomba hifadhi Uganda tatizo liko wapi? Kwani Tanzania tuu ndiyo ina huo wajibu? Wakimbizi huomba hifadhi mahala wanaona amani ipo. Wameona Uganda ni Salama
  5. F

    China imefunga Ubalozi mdogo wa Marekani

    Marekani anatapatapa apate pa kutokea . Rais wa Marekani hana sifa za kuongoza kwa hekima. Leo anarukia China ,Kesho Iran, Kesho kutwa Afghanistan mradi tuu kuleta hekaheka. Sasa anakabiliwa na matazizo makubwa mawali nchini mwake ,Maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi , mauaji na uonezi wa...
  6. F

    Sakata la Morrison: Yanga yaishtaki Simba TFF na kutaka haki itendeke

    Pamoja fedha walizonazo Simba kama kweli , wanatakiwa kufuata taratibu za kusajili mchezaji kutoka Club nyingine bila kutumia ubabe. Kama wanamtaka Morrison, waende mlango wa mbele kwa uongozi wa Club ya Young Africans Sport Club wavunje Mkataba. Kama kweli Simba Sports Club wamefanya mazungumzo...
  7. F

    Mpaka wa Namanga wafungwa kwa muda baada ya Kenya kuwazuia madereva malori kutoka Tanzania kwa kutokuamini vipimo vyao vya #Corona

    Kenya haiwezi kuamini majibu ya vipimo vinavyofanya Tanzania hata kama vimefanywa kwa ueledi na kwa kuzingatia matakwa yote ya WHO kwa sababu za Kihistoria. Kwamba wao wameendelea katika nyanja zote za Maisha( a more developed country compared to a much undeveloped country Tanzania. Is like to...
  8. F

    GE2020 Tabora: TAKUKURU kuwakamata Wanasiasa walioanza Kampeni kabla ya muda, Aden Rage kashadakwa

    Range anataka Ubunge tena ? ! Afanye tathimini kwanza kabla hajajitosa kwenye ulingo. Hakawii kutoa bastola anapoona Mambo yanaenda kombo. Kwa wana Tabora mulizeni , alisahau nini Bungeni ?
  9. F

    TANZIA R.I.P Mwalusako

    RIP Mwalusako
  10. F

    Iranian 107-year-old woman recovers from Coronavirus

    With COVID19 and viral attacks in general and people's recoveries , there are no clear answers nor formuls! It all depends with one's immunity and probably body genetics of an individual. Thus advanced age is not the only fatal factor. It can be overcomed
  11. F

    Waziri Simbachawene amwagiza IGP kuwapangia kazi nyingine matrafiki wenye vitambi. Je, ni kosa askari kuwa na kitambi?

    Mheshimiwa Waziri. Umefanya utafiti wa kutosha kabla ya kufikia huo uwamzi ? Je ni kweli Vitambi vinahusiana na utendaji duni wa Kazi ya Traffic Police. Kama Traffic Police wa Gairo ni wazembe ni tu lakini siyo sababu ya vitambi. Wapo wasivyo navyo lakini ni wazembe na wapo wanavyo lakini ni...
  12. F

    Wabunge wawili wa Viti Maalum CHADEMA wahamia NCCR Mageuzi

    Kunaacha maswali mengi yasiyo kuwa na majibu. Transparency kwenye chama ni Suala la ndani ambalo kama kweli hao Wabunge wanamsimamo wangehimiza kikao na Kiongozi Mkuu na kulijadili ili kupata ufunguzi. Kukimbia siyo jawabu. Inaonesha walikuwa kimaslahi binafsi na siyo kwa ajili ya Chama. CCM...
Back
Top Bottom