Uchaguzi 2020 Tabora: TAKUKURU kuwakamata Wanasiasa walioanza Kampeni kabla ya muda, Aden Rage kashadakwa

Chadema kwa kuvunja sheria hawajambo.
Unasemaje comrade ?
rage.jpg
 
Range anataka Ubunge tena ? ! Afanye tathimini kwanza kabla hajajitosa kwenye ulingo. Hakawii kutoa bastola anapoona Mambo yanaenda kombo. Kwa wana Tabora mulizeni , alisahau nini Bungeni ?
 
Mimi siwaelewe CCM juu ya ubaya wa kuanza mchakato kabla ya kuchukua fomu.

Huu ni udikteta wa kisiasa, ili wale wasiotakiwa CCM Mpya wakichinjwa kusiwepo muda wa kuhama .

Maana CCM ina waambia kina Rage wasubiri na kuweka tamaa kuwa watapitishwa halafu wanaondolewa dakika za lala salama baada ya kuchukua fomu na muda unakuwa umekwisha huku watu maarufu CCM kama wangefahamu mapema hawana watu CCM Mpya wangeamua kujiunga na CHADEMA.

CCM ni taasisi mbaya kwa ustawi wa demokrasia Tanzania.
 
Mwenye jimbo kwasasa ni nani?
Ana wadhifa gani ndani ya CCM?
Kuna majimbo ya kuvamia na kutoa rushwa sio yote. Jimbo kama Mby mjini au Iringa mjini au Arusha mjini utatoa rushwa italiwa ba kura hupati.
 
Back
Top Bottom