Hotuba ya Mhe. Msigwa kutangaza nia ya Urais wa Tanzania (Full Text)

Msigwa hawezi kuaminika popote labda kwa mke wake tu
Huyu anatumika tu kupima upepo,hata yeye anajua hawezi kuwa Rais kwa sababu ameshakiri kuwa ni msema uongo
Afadhali aliyekiri kuliko anayedanganya kila siku na kuwafanya watanzania kama mabwege huku akiendelea kupigiwa makofi na mabwege hao hao!
 
Ofkoz,kibblia mfalme huota ndoto/maono ,ila kwa bahati mbaya mwenye tafsiri huwa sio mfalme.
Kwahiyo ndoto zake huyu atafte wenye tafsiri wampe,inawezekana ana ndoto ya kuwa rais wa chadema
 
Msigwa for president BIG JOKE.
Hivi chadema kazi ya urais wanafkiria ni kuchoma mahindi sijui
 
Changamoto ya Chadema ni kwamba hoja safi haziambatani na moyo safi.

Hotuba ya Msigwa ni nzuri, hoja ya za Lissu ni nzuri, lakini je hawa si ndio waliwaangusha watanzania lilipokuja suala kumchagua mgombea urais wao mwaka 2015?

Lakini sasa mlicheza karata zenu vibaya kwa sababu mlichukulia imani ya watanzania kwenu for granted. BWANA tayari alishajitaftia mtu aupendezaye moyo wake, naye anaweza asiwe mzuri wa hotuba wala kupangilia maneno, lakini Mungu aliona moyo wake na dhamira yake safi ya utumishi.
 
"Leo natangaza rasmi nia yangu ya kuwania Urais wa Tanzania, ninautaka Urais kwasababu nataka kuongoza mageuzi makubwa ya kiutawala, kiuchumi na kielimu yatakayoleta maendeleo ya haraka"- PETER MSIGWA

More to follow:

Katika hali ambayo si ya Kawaida Mchungaji na Mbunge wa Iringa Mjini Petter Msigwa ametangaza kushiriki mchakato wa Nafasi ya Urais Ndani ya CHADEMA. Tayari Kejeli zimeanza kumiminika kwa wengine kwenda mbali zaidi na kusema huenda Sigara aliyovuta ni kali zaidi.

Kama kweli anawania CHADEMA ndiyo itakua chama cha Kwanza Kudharau Nafasi hiyo ya Urais Taangu tupate Uhuru mwaka 1961.
Wale walichukua form mwaka 2015 kupitia cha ccm nafikiri ndo walikuwa na utani kupita maelezo
 
Viongozi makini huota. Viongozi bora hubeba maono ya aina ya nchi wanayokusudia kuijenga. Ndoto yangu ni kuitoa Tanzania katika orodha ya nchi maskini sana duniani
WE WACHA WEWE. !!! KWANZA WEWE UTALETA UDINI

NA UMASIKINI KWANZA UNGEUFUTA KTK JIMBO LAKO.

MWACHENI JPM AENDELEE MSITUCHANGANYE KABISAAA
 
Elimu tiki
Utawala tiki
Uchumi jamii siujui vizuri lkn si vibaya tukijaribu naamini unafuata philosophy ya chama chenu mrengo wa kati kushoto( sociodemocracy na kuifananisha na uchumi, safi


Hoja ya kuteuliwa au kutokuteuliwa hilo ni jukumu la kamati kuu na pia kama wagombea muanzishe maoni ya taratibu za uteuzi ili kuondoa manung'uniko yenu kwa viongozi nao wakiondoa kwenu, si vibaya mkishauri mpate wadhamini kila mkoa au kwa idadi kadhaa ili na chama kipime momentum ya ugombea toka kwa wananchi na umma
Huko nyuma tuliunga mkono wagombea wa upinzani bila hoja madhubuti ya ' msukumo wa mtu self determination' kwenye kuongoza watu kama Rais, this time mmeonesha hatua nzuri japo imetokea bahati mbaya na mmeiunga mkono na ninaamini sasa mnafarijika chama kinawatu potential ambao wanawapa watu wa kipato cha juu na kati changamoto ya fikra ili waifikishe kwa kipato cha chini kirahisi ambao ni wengi ila wanawategemea hao juu


Hata ccm mwaka 2015hawakujikita kwenye majibu ya watz bali kwenye sifa na kuchangamsha baraza isipokuwa JM
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom