Uislam ndio ulianza kudai uhuru tanzania,
Nyerere ktk hotuba,zake anakwambia yeye ndio mkristu wa kwanza kukaribishwa tanu, kwa maana kabla ya nyelele waislam walikuwa ktk harakati za,kudai uhuru,
Baadae wakamkaribisha nyerere ,
Wakamuamini na kumpa nguvu na kupambana nae,
Ukienda kuangalia...