Recent content by FATHER OF REALITY

  1. FATHER OF REALITY

    Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!

    Nadhani utakuwa unazifaham siasa za tanzania kwa kiwango kidogo sana hata kama ni kada. Lah basi una maslahi , ambayo kimsingi huondoa ufaham wa watz wengi.
  2. FATHER OF REALITY

    SIMBA SC VS STELLA ABIDJAN MWAKA 1993

    Boli zozo akifunga goli zote 2, na mechi ya Yanga na Simba James tungaraza aliyesajiliwa tokea sigara FC ya far, akifunga goli zote 2.
  3. FATHER OF REALITY

    Utajiri wa nchi ni akili za Watu sio rasilimali kama madini na nyinginezo

    Nadhani umeandika hoja MUHIMU yenye kushika hisia, na hivo kuna hatari ya kuzuia fikra yakinifu, tusipokuwa Makini wote tutashiriki kujilaani, kulaumu watu na kukosa hata mawazo suluhishi. Katika kuelewa Jambo ili ulihukumu yapaswa akili na fikra yakinifu vishirikiane. Mimi naungana na wasemao...
  4. FATHER OF REALITY

    Tunapumbazwa na mpira wa Simba na Yanga huku wanasiasa wakiendelea kutafuna nchi!!!

    Kuna wanaopumbazwa na kunawalioamua kujipumbaza hasa wakijua kwamba kuongelea mambo ya siasa ni kujiweka hatarini, na kuongelea mambo ya michezo ni usalama.
  5. FATHER OF REALITY

    Ukimya wa wapenda Nchi

    Bila Shaka sasa Nchi inaenda vizuri katika mwendo ambao tunauhitaji na tumeridhika nao, ishara ya hili inajionesha pale wakosoaji na wapenda nchi, yaani wazalendo nguli waliojitokeza kipindi cha hayati JPM kunyamaa Kwa kimya kikubwa. Nadhani sasa mambo yapo safiiii, kijamii, kiuchumi...
  6. FATHER OF REALITY

    Humphrey Polepole upepo wa kisasi unakuandama. Chunga sana, Mungu ndio anakulipa hivyo

    Acha kutumia jina LA Mungu kipuuzi, HV polepole kamuuzi Mungu kuliko wengi wasio na matatizo hayo. Usichukue vipimo vya mwanadamu ukafananisha na vya Mungu.
  7. FATHER OF REALITY

    Uongo wa Serikali ya awamu ya 5 chini ya Dkt. John Pombe Magufuli utawatesa sana Marais watakaofuata na Samia akiwa miongoni

    Balali si alifariki na kuzikwa Marekani? Au...... Kuna mambo ndo mnajifanya kuwa na akili, wasaka tongue tu.
  8. FATHER OF REALITY

    Uchaguzi Zambia, chama tawala umesusia matokeo na kusema sio ya haki

    Mkuu trust me, natamani ccm iondoke madarakani hata muda huu niandikapo, ila cha kusikitisha ni kwamba ccm haitaondolewa bila kutumia akili kubwa mno, kujitoa mhanga na kuwa na misimamo isiyoyumbishwa, pia kuwa na chama madhubuti. La utakuwa wimbo wa dunia kuiombea Marekani ianguke bila kuwa na...
  9. FATHER OF REALITY

    Uchaguzi Zambia, chama tawala umesusia matokeo na kusema sio ya haki

    Mabadiliko yanatokea pale jamii husika inapokuwa inajitambua na ina dira, mapinduzi na mabadiliko yenye tija kwa taifa huletwa na wasomi wazalendo wenye maono juu ya taifa lao, yakiletwa kwa mgongo wa kabila au dini huwa hayana tija maana hufumbia macho uchafu mwingi uendeleao ktk taifa kwa kuwa...
  10. FATHER OF REALITY

    Uchaguzi Zambia, chama tawala umesusia matokeo na kusema sio ya haki

    Kwa Kenya hapana mkuu, pitia vizuri. Kuhusu matokeo halali juu ya mshindi toa Kenya na zimbabwe afu weka Ghana na Ivory Coast.
  11. FATHER OF REALITY

    Je, Tanzania ilifaulu au ilifeli kupambana na COVID-19

    Nilizingatia msimamo tuliokuwa nao COVID-19 ilipoingia nchini kwa mara ya kwanza, nilikuwepo wakati wa wimbi la pili la maambukizi, na nashukuru pia nipo kipindi hiki cha wimbi la tatu la maambukizi na hatua zinazochukuliwa. Najiuliza je, tulifaulu au kushindwa awamu ya kwanza ya COVID-19, na...
  12. FATHER OF REALITY

    Majibu ya Ubalozi wa Marekani kwa BAWACHA baada ya kushinikiza Freeman Mbowe kuachiwa huru

    Kitaratibu ilikuwa malalamiko hayo yalikuwa yapelekwe UN, lakini si Marekani ambao ni taifa na wanakosa uhalali wa kuingilia moja kwa moja mambo ya nchi fulani, zaidi sana labda kuondoa misaada. Pia wazungu wanatuchora sana na kujua akili zetu zimeishia wapi, sina hakika kama ni wazuri katika...
  13. FATHER OF REALITY

    Tupitie kidogo hii Makala (Ujasusi wa kidola na kiuchumi))

    Kama ni ukweli, basi imewasilishwa kwa lugha rahisi na ya kitoto. Hivyo unahaki ya kuhoji hill juu ya huyu karegeye. Jasusi mahili hutafutwa na jasusi mahili, HVO mbinu huwa Kubwa sana, na hapo tunazungumzia aliyefanikiwa kumuua, huwenda walikuwepo waloshtukiwa. Kumbuka jasusi Wa urusi...
  14. FATHER OF REALITY

    Yaelezwa Marekani haiwezi tena kushinda vita

    hata akiingia mzma mzma anapata taabu sana hasa km hana vibaraka mle ndani anakovamia. Tatzo wametubrain na zile move za watu saba kupambana na majesh na wanashnda. Vita mojawapo waloshndwa vibaya na kupata aibu ni vya vietnam, hvyo US hawapend kukumbuka au kukumbushwa. Pia marekan kashndwa ktk...
Back
Top Bottom