Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Raymond okala enugu rangers.
Unamkumbuka Thomas Karume na tukio la mashabiki kurusha shanga taifa? Mwameja alinyoroshwa na Kally ongala pamoja na bwana harusi IDD moshi mnyamwezi.Kamusoko mtingisha matako
HahahaUnamkumbuka Thomas Karume na tukio la mashabiki kurusha shanga taifa? Mwameja alinyoroshwa na Kally ongala pamoja na bwana harusi IDD moshi mnyamwezi.
Soma vizuri,ilikuwa in usiku baada ya mechi ndiyo jamaa wakaenda billsHii mechi umenikumbusha mechi ya simba na yanga iliyofuatia baada ya simba kufungwa na Stella Abidjan wakaja kupigwa mbili na watoto wa Jangwani kwa magoli ya marehemu James Tungaraza na ukawa mwanzo wa Tungaraza kuitwa Boli Zozo ambae ndie alikuwa mfungaji wa magoli ya Stella Abidjan.
Ile game Simba walidundwa kiuhalali wala wasitake kuzuga kwamba kuna mtu alihongwa,wanawaonea tu kina Masatu,kumuona mtu anakula bata siyo justification kwamba amehongwa,labda point ya msingi iwe kwamba hawakutakiwa kula bata katika crucial moment kama hiyo kitu ambacho kingewapotezea concentration ya mchezo wa kesho yake na badala yake walitakiwa wawepo camp.
Kitendo cha kiminyio na wenzake kuwashambulia kina Masatu(kama hii ni kweli)kilikuwa cha kukurupuka (kiminyio atanisamehe kama mtani) kwani kwa vyovyote vile aliwaathiri wenzake kisaikolojia jambo ambalo ni hatari kwa mchezaji anayekabiliwa na mchezo mgumu mbele yake-you never know labda ilikuwa ni propaganda iliyosukwa na Stella kwa kushirikiana na wasioitakia mema simba ili simba wavurugane kuelekea mchezo huo ili wao wapete.UKISIKIA MPIRA UNACHEZWA NDANI NA NJE YA UWANJA NDO KAMA HIVYO.
Baghdad,chukwu,ngoma,kamusoko,aboutrika,yousuph hajj,nkMkuu akina Mwameja, walionekana wakila bata usiku wa siku iliyo chezwa mechi. Yaani saa kumi na mbili mechi imeisha, umepigwa goli mbili bila, halafu saa tano usiku unaonekana ukila bata kwenye klabu ya usiku. So bata walikula baada ya mechi na si kabla ya mechi mkuu...
Hii mechi umenikumbusha mechi ya simba na yanga iliyofuatia baada ya simba kufungwa na Stella Abidjan wakaja kupigwa mbili na watoto wa Jangwani kwa magoli ya marehemu James Tungaraza na ukawa mwanzo wa Tungaraza kuitwa Boli Zozo ambae ndie alikuwa mfungaji wa magoli ya Stella Abidjan.
Ile game Simba walidundwa kiuhalali wala wasitake kuzuga kwamba kuna mtu alihongwa,wanawaonea tu kina Masatu,kumuona mtu anakula bata siyo justification kwamba amehongwa,labda point ya msingi iwe kwamba hawakutakiwa kula bata katika crucial moment kama hiyo kitu ambacho kingewapotezea concentration ya mchezo wa kesho yake na badala yake walitakiwa wawepo camp.
Kitendo cha kiminyio na wenzake kuwashambulia kina Masatu(kama hii ni kweli)kilikuwa cha kukurupuka (kiminyio atanisamehe kama mtani) kwani kwa vyovyote vile aliwaathiri wenzake kisaikolojia jambo ambalo ni hatari kwa mchezaji anayekabiliwa na mchezo mgumu mbele yake-you never know labda ilikuwa ni propaganda iliyosukwa na Stella kwa kushirikiana na wasioitakia mema simba ili simba wavurugane kuelekea mchezo huo ili wao wapete.UKISIKIA MPIRA UNACHEZWA NDANI NA NJE YA UWANJA NDO KAMA HIVYO.
Alaaa kumbeTokea hapo simba kila ikijitahidi kufikia rekodi yake yenyewe inashindwa. laana hii