Baada ya miaka 1000 ,Tanzania bado Sana mkuu kukubali kukabidhi nchi kwa magaidi .Time will tell. Hata hapa Tanzania Kuna siku Mbowe atakua waziri mkuu, Heche waziri wa ulinzi, msigwa waziri wa kilimo. Deceiver mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam.
Hakika ipo siku
Unadhani hii formation haikuwepo Zambia? We sema ccm wanataka mpaka watu wakatane shingo na majambia polisi wanaoishi uraiani watekwe ndio wataweka mpira mezani.Huku Tanzania haitakuja kutokea. CCM wana kikosi cha ushindi:
1.Siro
2.Mahera
3.Mabeyo
4.Diwani.
5.Wakurugenzi
6.DCs
7.Waalimu, wasimamizi kuiba kura
8.Mahakama
9.
10.
11. Wachawi wa Gamboshi.
Kila marefu yana ncha..Huku Tanzania haitakuja kutokea. CCM wana kikosi cha ushindi:
1.Siro
2.Mahera
3.Mabeyo
4.Diwani.
5.Wakurugenzi
6.DCs
7.Waalimu, wasimamizi kuiba kura
8.Mahakama
9.
10.
11. Wachawi wa Gamboshi.
Trust me nchi zenye makabila machache ni rahisi sana kupata mabadiliko. Wale wanaohisi wanaonewa hawatadeal na polisi.Makabila sio factor huko. Kama kwetu tu. Tatizo lilikuwa mfumo wa chama dola kama ilivyo CCM. Waliufanyia kazi wakafanikiwa kupunguza madaraka ya Rais, wakaimarisha uhuru wa mihimili ya bunge na mahakama na kuweka tume huru ya uchaguzi.
Watu wakianza kudeal na nyie wafuasi wa chama cha kijani basi watawala wenu wataandika katiba bila kupenda. Au na nyie wafuasi mna mabomu?Baada ya miaka 1000 ,Tanzania bado Sana mkuu kukubali kukabidhi nchi kwa magaidi .
Kwa Kenya hapana mkuu, pitia vizuri. Kuhusu matokeo halali juu ya mshindi toa Kenya na zimbabwe afu weka Ghana na Ivory Coast.Ila na katiba zao wamezifanyia marekebisho jaribu kuchunguza nchi za Africa kama
Kenya
Malawi
Zambia
Zimbabwe
Chaguzi zao zinaaamua mshindi halali kwenye sanduku la kura na sio vinginevyo
Mkuu Waambie waanze ,mbona Hadi muda huu ghaidi Yuko nyuma ya nondo na hakuna wa kukinukishaWatu wakianza kudeal na nyie wafuasi wa chama cha kijani basi watawala wenu wataandika katiba bila kupenda. Au na nyie wafuasi mna mabomu?
Hata jiwe mlimpangia mumuongezee miaka mengine aongoze milele na mliposema hivyo hamkuwa wapuuzi. Kiufupi ujue na ujue zaidi ya kwamba mwisho WA ccm upo na utakuepo na Mungu hakuumba hapa duniani kwamba kilicho na mwanzo kisiwe na mwisho.Ccm sio wapuuzi kama wahuni wa hapo ufipa.
Mabadiliko yanatokea pale jamii husika inapokuwa inajitambua na ina dira, mapinduzi na mabadiliko yenye tija kwa taifa huletwa na wasomi wazalendo wenye maono juu ya taifa lao, yakiletwa kwa mgongo wa kabila au dini huwa hayana tija maana hufumbia macho uchafu mwingi uendeleao ktk taifa kwa kuwa lengo ilikuwa kabila kushika dola.Trust me nchi zenye makabila machache ni rahisi sana kupata mabadiliko. Wale wanaohisi wanaonewa hawatadeal na polisi.
Watadeal na kabila wa wale wanaowaonea. Chukulia mfano CCM ni kabila. Watu wakianza kudeal na wafuasi wa CCM watawala wataandika tu katiba bila kupenda.
Mkuu trust me, natamani ccm iondoke madarakani hata muda huu niandikapo, ila cha kusikitisha ni kwamba ccm haitaondolewa bila kutumia akili kubwa mno, kujitoa mhanga na kuwa na misimamo isiyoyumbishwa, pia kuwa na chama madhubuti. La utakuwa wimbo wa dunia kuiombea Marekani ianguke bila kuwa na mikakati bali imani tu, haitoanguka.Hata jiwe mlimpangia mumuongezee miaka mengine aongoze milele na mliposema hivyo hamkuwa wapuuzi. Kiufupi ujue na ujue zaidi ya kwamba mwisho WA ccm upo na utakuepo na Mungu hakuumba hapa duniani kwamba kilicho na mwanzo kisiwe na mwisho.
Gaidi mamaakoBaada ya miaka 1000 ,Tanzania bado Sana mkuu kukubali kukabidhi nchi kwa magaidi .
Kenya piaZambia na Malawi ni rahisi kuwatoa mkuku watawala sababu ya uchache wa makabila.
Kabila moja likihisi linaonewa wanakinukisha.
Mfano Zambia wana majimbo na makabila makuu matano tu. Hapo ni karata ya wagombea ichezwe vizuri.
Makabila ni factor mojawapo kubwa piaMakabila sio factor huko. Kama kwetu tu. Tatizo lilikuwa mfumo wa chama dola kama ilivyo CCM. Waliufanyia kazi wakafanikiwa kupunguza madaraka ya Rais, wakaimarisha uhuru wa mihimili ya bunge na mahakama na kuweka tume huru ya uchaguzi.
Umeamza kutabiliwa tokea 1985 baada ya mzee mchonga kukaa pembeni.Hata jiwe mlimpangia mumuongezee miaka mengine aongoze milele na mliposema hivyo hamkuwa wapuuzi. Kiufupi ujue na ujue zaidi ya kwamba mwisho WA ccm upo na utakuepo na Mungu hakuumba hapa duniani kwamba kilicho na mwanzo kisiwe na mwisho.
Kwamba chama tawala licha ya kuwa na jeshi,polisi,TISS,tume ya uchaguzi,mahakama,mgambo na kadhalika wameibiwa kura?😁😁😁
Unamaanisha Kenya ambayo mkuu wa tume alipotea ktk mazingira ya kutatanisha na kukutwa mait???Ila na katiba zao wamezifanyia marekebisho jaribu kuchunguza nchi za Africa kama
Kenya
Malawi
Zambia
Zimbabwe
Chaguzi zao zinaaamua mshindi halali kwenye sanduku la kura na sio vinginevyo
Maneno yangu yashike ujue tena hata wewe hukujulikana Mungu akafanya rehema zake ukazaliwa ukajulikana ulikuwa na mwanzo na mwisho utakuwa nao. Ikiwa ni hivyo na ccm inamwisho wake. Kinachowatia kejeli siushindani ya uanachama kwa kusema mnauwezo mzuri tu kwa kukubalika kwenu au lá bali ni nguvu ya policcm, tume kutokuwa huru na nguvu nynegine zá ziada za vyombo vya dola ndio maana mpka sasa hakuna ccm anaekubali kuwepo na hivyo vyombo viwe huru.Umeamza kutabiliwa tokea 1985 baada ya mzee mchonga kukaa pembeni.
Hawa chadema wa twitter leo wasikutishe.