Nishawai kushuhufia pia kitendo kama hiki mwaka 2020 katika mwendo kasi maeneo ya Shekilango, alikua ni mwanaume mtu mzima kabisa na dada moja hivi...
Sasa walifika mbali kwani yule mwanaume alitoa hadi dudu kabisa.
Mkuu !Pole sana kwa unayopitia kwa sasa.
Kwanza, naomba nikwambie jambo moja USIKATE TAMAA, maisha hayana kuchelewa wala kuwahi, nakwambia siku yako ikifika basi na mambo yako yatanyooka vizuri tu.
SIKILIZA KISA CHANGU
Mwaka 2018 nilikua na miaka 27 kama wewe, na nilikua nimejitolea katika...
Mkuuu! Kwanza pole sana
Kama ni kweli huyo manzi ameshikiria msimamo mbali na yote uliyofanya, na uko na uhakika 99% kuwa ni mwanamke na hana mpenzi mwingine, basi mkuu tatizo sio ww...tatizo ni yeye.
Kuna manzi mwaka 2021, nilikua namfukuzia Arusha...nilitumia mbinu zote...
Yes, panda gari ya Moro ... Musoma, zinafika usiku sana na hali ya ugeni itakuwia ugumu kufika chuoni.
Ushauri
Nenda hadi Musoma mjini, pakikucha ulizia magari yanayoenda Buhemba(haya yanapita kwenye geti kabisa la Mwl Nyerere Un), au panda magari yanayoenda Butiama then shukia Butuguri then...
Panda bus la Moro - Musoma au Moro - Tarime, shuka sehemu kituo kinaitwa Sabasaba......mwambie boda akupeleke Mwl Nyerere Agriculture University au iliyokua Oswald Mang'ombe High School
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.