Japo uzi huu ni wa siku kadhaa zilizopita, ila kuna kadi za bank sitaitaja hapa kuna zile poss mashine za petrol station ukiweka tuu unakatwa pesa bila kuweka password
Hii mimi ni shuhuda na kadi hii tokea hapo nikaacha kabisa kuweka pesa nyingi kwenye hiyo account.
Kwani hiyo hesabu ya milioni 16 umeipataje we kijana?
Miezi 10x80,0000/= unapata milioni nane
Miezi 12 unapata milioni 9600000/=
Sasa tukisema huko shuleni ulienda na hakujakusaidia itakuwa ni kosa kweli?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.