ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,699
- 127,567
Kabisa mkuu, umepewa nafasi ya kuwa chochote unachotaka!Kwa hio kuwa mnyonge hapa ni kupenda mwenyewe sio.
Kabisa mkuu, umepewa nafasi ya kuwa chochote unachotaka!Kwa hio kuwa mnyonge hapa ni kupenda mwenyewe sio.
Ukinyonga nao unafaida hasa kwenye kusaka watoto, vijana wengi hawajui hilo somoTunabadilika kulingana na mazingira, zikija mada za magari wote tunasukuma LC, zikija kama za Tanesco ndio hivyo tupo migombani na milimani...
....jf yenyewe imeruhusu tutengeneze profile zetu vile tunataka.
Hope ulienjoy/tuli'enjoy Mkuu?Duuh jana nilikuwa hapo hapo kwenye tamasha hilo la kihistoria
Naam tena sana sana tuu na kesho narudi kuchele tena kwa sasa nipo tunduru nimekuja kusabai jamaa hapaHope ulienjoy/tuli'enjoy Mkuu?
Wakati mwingine tena
Kila la kheri Mkuu....Naam tena sana sana tuu na kesho narudi kuchele tena kwa sasa nipo tunduru nimekuja kusabai jamaa hapa
Kusipokuwa na shida yoyote tuko Munich, Johannesburg, Paris, Washington, Miami, Florida nk.Jana baada ya umeme kukata na ule uzi wa raarifa kufunguliwa kila mtu alikua anatoa ushuhuda eneo lake halina umeme, sijui kwimba, Tandahimba, tunduru, kibosho, changanyikeni, nyakasangwe, kaliua, mtimbira, mpitimbi huko, nk nk.
Ila tukirudi kwenye profile fulani from uk, fulani from Michigan, fulani from Munich, from Italy nk nk.
Mna tunachanganya lakini!!
Jumapili nzuri kwa wote.
Hahaha 😂.Karibu hapa rombo mkuu tupate kilaji kwao na secretarybird
Aliyepo chako ni chako asogee, nimeagiza kuku mzima sitaweza kummaliza
Baadaye nakuja kumchukua demu wa kumshughulikia hapo bro!Aliyepo chako ni chako asogee, nimeagiza kuku mzima sitaweza kummaliza
Nipo hapa Bulubulu-Karatu, tumbo limenisokota baada ya kusikia uko Marekani mangi.Mtu akiwa popote sioni tatizo, uzi wako unaonyesha ni jinsi gani wamatumbi wengi tunapata sukari tukisikia mwingine wapo nnje ya Tanzania na sisi tupo huko Karatu mashenzini tunatumikia tamisemi
Tumbo la kuhara linawapata wamatumbi wakisikia umepiga kahatua kidogo mbele yao , sasa kuwa nnje ya nchi nayo ni stori ya kupanic au ni uzumbu kuku tuNipo hapa Bulubulu-Karatu, tumbo limenisokota baada ya kusikia uko Marekani mangi.
Mimi nipo Mtu ni Mtu, sogea tule bata mzinga wa kuokwaAliyepo chako ni chako asogee, nimeagiza kuku mzima sitaweza kummaliza
Karibu sanaNipo njiani natokea mitaa ya Chang'ombe, naingilia Chinangali, napita Airport hapo ku park gari langu.. Nipo serious nakuja.