Recent content by faru rajabu

  1. faru rajabu

    JamiiForums Tanzania Money penny amekubali kuchumbiwa na Superbug

    mbona hiyo pisi naiona online BADOO hapa sasa hivi??? umeituliza kweli???
  2. faru rajabu

    JamiiForums Tanzania Huyu Member anadhani amenila hiyo Pesa. Haja calculate jambo moja muhimu

    anatumia jina gani JF sisi wa dodoma tumtafune kwa niaba yako?
  3. faru rajabu

    JamiiForums Tanzania Wakenya mmezidi sana mnawataka nini Watanzania aah!

    hawa jamaa bila kupigana nao vita hawawezi kutuheshimu,inabidi tuwabutue fagia mpaka moi kasarani 🤣 🤣 ndo wataacha kutuchezea,waganda wanatuheshimu,fagia mpaka kampala🥴🥴
  4. faru rajabu

    JamiiForums Tanzania Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

    shawshank redemption
  5. faru rajabu

    JamiiForums Tanzania Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

    Rango 🤣 🤣 🤣Johhny Depp
  6. faru rajabu

    JamiiForums Tanzania Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

    The good,the bad and the ugly TROY GLADIATOR LAW ABIDING CITIZEN BLOOD DIAMOND sniper reloaded TV SERIES 24 prison break
  7. faru rajabu

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Muhitimu wa Shule ya kata Igaganulwa, Yohana Lugedenga azua mjadala baada ya kupata daraja la 1.7 akiwa amepata A masomo yote 9

    washapata cha kuongea,ajiandae tu kuzunguka ktk kampeni za CCM mwakani kuwa kama mfano wa mafanikio ya shule za kata
  8. faru rajabu

    JamiiForums Tanzania Mke malaya, nimfanyaje?

    kagombe, nunua gunia mbili za mkaa weka kibarazani,halafu unaweka nyimbo za mapambio zile za misibani na wa stamina kutwa nzima
  9. faru rajabu

    JamiiForums Tanzania Mwambieni yule dogo aliechezea simba kutembea na mke wangu, Stamina hold on pls

    huyo dogo aliemtafuna mkewe aliecheza simba itakuwa ni MEDDIE KAGERE tu ,lile hirizi hata akimtongoza nani HAKATAI 🤣 🤣 🤣
  10. faru rajabu

    JamiiForums Tanzania Haya huyo wenu wa CIA mnayemuami kwamba ni mkweli, aletwe sakata la Tundu Lisu!

    sio lazima iwe ndani tu,hata ubalozi wao ulipolipuliwa walikuja hadi hapa,wao wana deal na matukio ambayo yashatokea kuchunguza,CIA ni intelijensia ya future events
  11. faru rajabu

  12. faru rajabu

    JamiiForums Tanzania Haya huyo wenu wa CIA mnayemuami kwamba ni mkweli, aletwe sakata la Tundu Lisu!

    MWANDISHI WA HUU UZI HAJIELEWI,CIA WANA DEAL NA INTELIJENSIA YA VITU AMBAVYO BADO HAVIJATOKEA,CENTRAL INTELLIGENCE AGENCY,FBI NDO WANA DEAL NA MATUKIO AMBAYO TAYARI YASHATOKEA,WANACHUNGUZA............FEDERAL BUREAU OF INVESTIGATION,CIA KU CHEAT ILI KU JUSTIFY KUFANYA KITU e.g KUVAMIA TAIFA...
  13. faru rajabu

    JamiiForums Tanzania Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

    ingia playstore andika BADOO
  14. faru rajabu

    JamiiForums Tanzania Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

    msimamo kwa vipi??kama upo katika mahusiano na unayaheshimu unaenda kuchat na wanaumwe wengine ktk dating site kwa nn in the first place
Back
Top Bottom