Haya huyo wenu wa CIA mnayemuami kwamba ni mkweli, aletwe sakata la Tundu Lisu!

Mleta mada nafikiri umeshindwa kufahamu na kutafautisha kazi ya CIA, FBI na NSA

Moja katika kazi za CIA ni kudanganya Dunia kwa maslahi na manufaa ya USA
 
Mkuu, hizo kazi siyo za CIA ni FBI ................!!

FBI hawafanyi uchunguzi nje ya USA, FBI ni home security, hivyo kama mlitaka USA aje basi angetuma CIA na siyo FBI.

Tofauti kati ya CIA na FBI ndio hiyo, FBI ndani ya USA na CIA nje ya USA!
 
Sasa nakuuliza wewe Barbarosa kwa hili tukio la Lissu tukiomba msaada wa uchunguzi toka USA,watatuletea CIA au FBI ?

Jibu lipo hapo juu, tofauti kati ya FBI na CIA ni kwamba FBI wanahusika ndani ya USA na CIA nje ya USA, hivyo kama mkiomba na USA akikubali kutuma watu atatuma CIA kwa maana CIA ndo sana Expertise na foreign countries FBI hawana, FBI wako trained kuhudumia ndani ya USA!
 
MWANDISHI WA HUU UZI HAJIELEWI,CIA WANA DEAL NA INTELIJENSIA YA VITU AMBAVYO BADO HAVIJATOKEA,CENTRAL INTELLIGENCE AGENCY,FBI NDO WANA DEAL NA MATUKIO AMBAYO TAYARI YASHATOKEA,WANACHUNGUZA............FEDERAL BUREAU OF INVESTIGATION,CIA KU CHEAT ILI KU JUSTIFY KUFANYA KITU e.g KUVAMIA TAIFA LINGINE KWA SABABU ZA UONGO HIYO KAWAIDA SANA,LA LISSU LABDA FBI,haya kajielimishe ktk hilo urudi na uzi mwingine
 
It means still hujasoma what i posted, and again, spies all over the world ndio mafundi hawa ni professional liars, they are being taught how to do anything to achieve what is needed, spies ni professional liars, sasa sijui hoja yako kubwa ni ipi. Hapo nili caution kuwa ni RT tv ili ushtuke ujue that is Russian propaganda TV and Sec of State Pompeo was in one of US university, giving speech to students, sasa RT ni tv ya propaganda za kupinga US always.. So nilitaka ujue hilo, RT sio source reliable to quote kwa masuala ya US.

Nimeuliza swali straight forward nadhani, je, hiyo clip ni real au fake, hayo ya rt kuwa propaganda media yanajulikana hata cnn, bbc, france tv, dw tv yote ni propaganda tools.
 
Jibu lipo hapo juu, tofauti kati ya FBI na CIA ni kwamba FBI wanahusika ndani ya USA na CIA nje ya USA, hivyo kama mkiomba na USA akikubali kutuma watu atatuma CIA kwa maana CIA ndo sana Expertise na foreign countries FBI hawana, FBI wako trained kuhudumia ndani ya USA!
sio lazima iwe ndani tu,hata ubalozi wao ulipolipuliwa walikuja hadi hapa,wao wana deal na matukio ambayo yashatokea kuchunguza,CIA ni intelijensia ya future events
 
FBI hawafanyi uchunguzi nje ya USA, FBI ni home security, hivyo kama mlitaka USA aje basi angetuma CIA na siyo FBI.

Tofauti kati ya CIA na FBI ndio hiyo, FBI ndani ya USA na CIA nje ya USA!
sio lazima iwe ndani tu,hata ubalozi wao ulipolipuliwa walikuja hadi hapa,wao wana deal na matukio ambayo yashatokea kuchunguza,CIA ni intelijensia ya future events
 
Kwa ninavyo elewa mimi CIA ni usalama wa taifa wa nchi ya Marekani ambao kwa huku Tanzania ni kama TISS.

CIA wanadili na mambo yajayo au matukio yajayo ya ki intelligence sio matukio yaliyo kwisha kupita.

FBI hawa ndio wanadili na matukio ambayo yalisha kwisha kupita yaani wanafanya investigation kujua lile jambo lilisababishwa na nani? Au nini chanzo cha tukio mpaka kutokea? yaani nani alihusika, nini kilihusika. Hawa ndio FBI Ambao kwa huku kwetu tunaweza kuwalinganisha na wale CID wa polisi.

CIA =TISS
FBI =CID

Kumbuka huwezi chukua usalama wa taifa wa nchi nyingine kuja kufanya uchunguzi kwenye nchi yako hiyo ni risk kubwa sana.

Hapana basi labda haujaelewa vizuri, tofauti kubwa ni kwamba FBI wanahusika na mambo ndani ya USA na CIA ni nje ya USA ingawaje wanaweza kuoverlap kulingana na tukio, hivyo USA hawezi kutuma FBI kwenye foreign countries kwa maana hawana huo ujuzi, chochote kinachohusu foreign country nje ya USA ni CIA, hiyo ndiyo tofauti kubwa.
 
sio lazima iwe ndani tu,hata ubalozi wao ulipolipuliwa walikuja hadi hapa,wao wana deal na matukio ambayo yashatokea kuchunguza,CIA ni intelijensia ya future events

FBI hawawezi kutumwa nje ya USA hiyo ni kazi ya CIA, CIA wana kila kitu!
 
FBI hawafanyi uchunguzi nje ya USA, FBI ni home security, hivyo kama mlitaka USA aje basi angetuma CIA na siyo FBI.

Tofauti kati ya CIA na FBI ndio hiyo, FBI ndani ya USA na CIA nje ya USA!
Unakosea tena. FBI ni mapolisi na wako chini ya Department of Justice. Hawa ndio wakali wa forensic science na wanatumia utaalamu huo kushika wahalifu. C.I.A ni majasusi ambao kazi yao kubwa ni kulinda maslahi ya nchi yao dhidi ya nchi nyingine. Ndio maana kwenye balozi zao kuna maafisa wa C.I.A ambao wanafuatilia mwenendo wa nchi waliyomo (kwa kushirikiana na yeyote ambae wataona anaweza kuwasaidia) kwa maslahi ya nchi yao. C.I.A wanatoa taarifa kuhusu hali ilivyo katika nchi zote duniani (The C.I.A World Factbook). Ubalozi wao ulipolipuliwa walikuja wataalamu wa FBI ( kwa vile ubalozi ni sehemu ya Marekani) na CIA ili kujua chanzo, aina ya mabomu (utaalamu wa FBI) na wahusika (utaalamu wa C.I.A maana hawa ndio wenye data base ya maadui wa Marekani na modus operandi zao).

Kwa mantik hiyo, serikali inaweza kuomba watumwe wataalam wa FBI kuchunguza tukio, na wanaweza kuomba msaada wa C.I.A kama wanashuku tukio ni la kigaidi. Kwa waingereza, tunaweza kuomba msaada kutoka Metropolitan Police Service ( New Scotland Yard) na kama tunahisi ni tukio la kigaidi M16.

Amandla............
 
Wewe ni mbumbumbu hata hujui CIA wanafanya kazi gani, hata hivyo swala la Tundu Lissu kila moja anajua waliotaka kumuua kwani ndio hao hao waliokataa kufanya uchunguzi. It's very simple.
 
Madam unakosea wapi!? Hayo ni matamshi yake binafsi si taarifa rasmi ya taasisi. Huwezi ondoa imani mfanobkwa jeshi letu la polisi kwa tukio la askali mmoja ama wachache kufanya makosa. Muhimu kujua wapo wanadamu ndani ya taasisi na wana madhaifu yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisema matamshi yake binafsi, unamaanisha nini au ujui matumizi ya WE LIED,WE CHEATED,WE STOLE?

Inabidi ukasome SUBJECT PRONOUN( PLURAL)
 
Wewe ni mbumbumbu hata hujui CIA wanafanya kazi gani, hata hivyo swala la Tundu Lissu kila moja anajua waliotaka kumuua kwani ndio hao hao waliokataa kufanya uchunguzi. It's very simple.
CIA wao mara nyingi ni kulinda masilahi ya America kote Duniani na kuzitoa madarakani zile serikali ambazo zitaenda kinyume na matakwa ya Marekani
 
Mleta mada nafikiri umeshindwa kufahamu na kutafautisha kazi CIA, FBI na NSA

Moja katika kazi za CIA ni kudanfanya Dunia kwa maslahi na manufaa ya USA
Pia CIA hushiriki kuunda vikundi vya Uasi hususani huko Uarabuni na sehemu zingine Duniani, CIA ni chombo hatari sana na hutumika kufanya biashara ya siraha za Marekani
 
Back
Top Bottom