Recent content by farryandy

  1. farryandy

    Diamond platinumz ashusha thamani ya shillingi ya TZ

    Ushasema mlikuwa mnakunywa konyagi
  2. farryandy

    Tb Joshua alivyonipa utajiri

    mtoa mada umekosa watoto wa kuwadanganya?
  3. farryandy

    Unasemaje kuhusu serikali tatu?

    Nadhani kila mtanzania ana lake la kuchangia... hebuzungumza lililoko moyoni mwako... USIFICHE. PICHA:mathematically=WRONG.....Politically=RIGHT.........Digital Computing.=RIGHT... Sasa tunasemaje tatu mbili moja?
  4. farryandy

    Msaada wa Chuo bora kati ya hivi

    duh hivyo ni vyuo au vituo?
  5. farryandy

    Humphrey Polepole ni nani?

    I know the man in person.... kiujumla namkubali sana.
  6. farryandy

    Kisa cha mtoto aliemuua mume wake wiki moja baada ya ndoa.

    pitia link hii... kumbe ni kweli muddy alioa mke wa miaka 9 http://islamgreatreligion.wordpress.com/2011/04/11/why-prophet-muhammad-married-aisha-when-she-was-only-9/
  7. farryandy

    Kisa cha mtoto aliemuua mume wake wiki moja baada ya ndoa.

    http://islamgreatreligion.wordpress.com/2011/04/11/why-prophet-muhammad-married-aisha-when-she-was-only-9/
  8. farryandy

    Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

    niko India nimeishuhudia hii... mara ya kwanza kwanza nilikuwa naona ni kitu cha ajabu lakini sasa hivi naona kawaida kabisa.
  9. farryandy

    Kama vipi muungano uvunjwe.

    zitazamwe faida na hasara za muungano kiundani... tusikae kung'ang'ania muungano kama pambo la kihistoria ambalo halitunufaishi kwa vyovyote wala kwa lolote... ni uupuzi... kama muungano wenyewe ndo malumbano kila siku... tuufutilie mbali kwasababu hasara zinakuwa nyingi kuliko faida. hat mke...
  10. farryandy

    Randama ya Rasimu ya Katiba Mpya: Hivi ndivyo inavyosema kuhusu Serikali tatu

    SURA YA SITA MUUNDO WA JAMHURI YA MUUNGANO Ibara ya 60 Muundo wa Muungano a. Maudhui ya Ibara Ibara ya Rasimu ya Katiba inaainisha muundo wa Muungano wa Shirikisho la Serikali tatu, ambazo ni Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Serikali ya Tanganyika na Serikali ya Mapinduzi ya...
  11. farryandy

    Familiya ya kitajiri

    kuwa na watoto wengi ni sifa?
  12. farryandy

    hatari: COCA COLA kampuni yenye siri kubwa ijulikanayo na watu wawili tu ulimwengu mzima.

    i wish ningevipata hivyo viroba huku niliko. #from delhi india.
  13. farryandy

    hatari: COCA COLA kampuni yenye siri kubwa ijulikanayo na watu wawili tu ulimwengu mzima.

    huwezi kuelewa.... hiyo ni lugha..... ngoja nikueleweshe.... inamaanisha: "its impossible the secret to be given out no matter what "
Back
Top Bottom