MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 561
Msichana mwenye umri wa miaka 14kutoka Kaskazini mwa Nigeria hukoKano amekiri kumuua mwanaumealimuoa kilazima kutokana nashinikizo la wazazi uamuzi ambaohakuridhishwa nao kabisa.
Wasilu Umar amemuua Mume wakeambae alikua na umri mara mbili yaumri wake kwa kumuwekea sumu yapanya katika chakula chake kitendokilichosababisha watu wenginewatatu kufariki na 10 kukimbizwahospitali baada ya kuhusika kwenyehicho chakula.
Baba wa mtoto huyo alimlazimishakuolewa na mwanamme huyomwenye umri wa miaka 35 ambapoharusi yao ilifanyika wiki iliyopitahukohuko kaskazini mwa Nigeriaambako ni maarufu kwa kuoza watotowakiwa na umri mdogo.Polisi wamekua wakijaribu kusitishandoa hizo za kulazimishwa ambapobaba wa Mtoto anaweza kushtakiwajuu ya ilo kosa ila bado hivyovitendo vinaendelea.
MillardAyo.com