Recent content by Farmer82

  1. F

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya maji Dar es Salaam yataisha lini?

    Ni kweli kabisa mkuu,ilikua wrong kufikiria na kuamini kua maprofesa wanapopewa uwaziri watakua msaada na ufumbuzi wa matatizo yetu lukuki,hawa watu ni mizigo katika wizara zao husika,walitakiwa wafanye vitu vingine zaidi ya siasa!Tanzania ni moja ya nchi chache kabisa duniani zinatokumatia...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya maji Dar es Salaam yataisha lini?

    Jamani mwenye mawasiliano ya mawaziri husika,katibu au hata Dawasco tunaomba atuwekee hapa,jambo linazidi kuwa worse,ni bora kukosa umeme kuliko maji,week ya pili sasa inakwenda huku Mbezi watu hatuna maji kabisa na hatujuhi lini yatapatikana!
  3. F

    JamiiForums Tanzania Nape: CHADEMA wajiandae kuingia msituni

    Uwaga namdharau always huyu mbumbu wa fikra!ila wapo wenzake wenye fikra kama zake anaweza kwenda nao sambamba!
  4. F

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Mbowe, hivi una habari kuwa wananchi wa Hai hawana maji?

    Huu uzuzu umbumbu na usiasa wa vyama ndio unatualiza Watanzania,ujinga wetu nafuu kwao,hakika hakuna jiji lenye shida ya maji kama dsm,hapa tu maeeo yote ya Mbezi maji hakuna siku ya nane sasa,hakuna cha tamko la Dawasco,waziri husika wala nani,wametuacha tu tunahangaika kama panya vile,ila kodi...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya maji Dar es Salaam yataisha lini?

    Kwa kweli hawa watu wanatudharau sana mkuu,mwenye dhamana apige kelele za nini wakati yeye,family yake na wenye dhamana wenzake hawapati athari yoyote?sana sana atarudi tena kua mnyenyekevu kipindi cha kuomba kura!matatizo yetu hayatakwisha na tutaendelea kua walalamikaji kama tutaendelea...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Msiba wa Komba: Kanisa Katoliki Mmejidhalilisha, Mmetufedhehesha

    Ili ni kweli kabisa mkuu,kanisa limepoteza maadili na hata sisi waumini wake tunaanza kuishiwa imani,kesi kama hii ya Komba ilimtokea Baba yangu mkubwa mwaka 2008 katika kanisa katoliki Sinza,kanisa liligoma katakata kumzika mzee yule,lakini kwa Komba kumekua hakuna kipingamizi chochote...
  7. F

    JamiiForums Tanzania EWURA wapunguza Bei ya Mafuta: Petrol kuuzwa 1,653; Diesel Kuuzwa 1,523/=

    Haina mantiki kama punguzo ili alimgusi na kumpa unafuu wa moja kwa moja mwananchi wa kawaida,kama nauli itabaki pale pale na gharama nyingine za maisha kama umeme etc zitabaki pale pale basi ni rubbish tu
  8. F

    JamiiForums Tanzania Ngeleja: Zitto aliomba na kupewa milioni 30 kutoka kwa Rugemarila

    Childish and rubbish
  9. F

    JamiiForums Tanzania Pinda autangaza Mkoa wa Songwe na Makao Makuu yake kuwa Mbozi

    Nonsense
  10. F

    JamiiForums Tanzania TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Mungu amuweke anapostahili kutokana na matendo yake aliyoyafanya duniani!
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kombe la Shirikisho Afrika: BDF XI vs Yanga [27 Feb 2014]

    Kazi ipoi,katibu iliyoandikwa na Chenge,hawa jamaha wanacheza na akili zetu kweli,ila cha moto watakiona october
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kombe la Shirikisho Afrika: BDF XI vs Yanga [27 Feb 2014]

    Jamani Ngassa kishatupia au?wengine hatuna access!
  13. F

    JamiiForums Tanzania CCM wapinga matokeo ya Serikali za mitaa Sumbawanga

    Kama katibu ana akili na uwezo wa kufikir kama huo basi ni kichekesho cha karne hiki!
  14. F

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi 6 wa JKT Waliotaka Kuandamana Wafikishwa Mahakamani Chini ya Ulinzi Mkali

    ”Vijana kukosa ajira ni bomu linasubiri kulipuka“ - Lowassa
  15. F

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vipya vya mitandao: TCRA yatoa tamko na maagizo kwa makampuni ya simu

    Wapi ahadi ya viongozi wakuu wa serikali kua kufikia mwaka 2015 gharama za mawasiliano zikiwamo internet zitapungua maradufu,matokeo yake ndio zimeongezeka kwa 150%. Au ni agizo toka serikalini kujaribu kuminya uhuru wa watu kupeana habari??kama ni hivyo haitasaidia,imeshakua too late,sana sana...
Back
Top Bottom