Recent content by Fareal

  1. Fareal

    Portable huawei universal mifi (router)

    *Huawei e5573 *Brand new(fully boxed) *Universal(zinasupport mitandao yote Tanzania kwa 2G,3G and 4G isipokua smart 4G). *support up to 10 devices(smartphones,laptops,etc) *can be used as wi-fi extender. *battery capacity 1500mAh(can sustain more than 7hours) . *Price 110,000/= ##contact 0713190269
  2. Fareal

    Huawei 4G universal router/mifi

    *price 110,000/= *Brand new (ziko sealed kabisa) *its universal(zinasupport mitandao yote Tanzania kwa 2G,3G and 4G isipokua smart 4G). *support up to 10 devices(smartphones,laptops,etc) *can be used as wi-fi extender. *battery capacity 1500mAh(can sustain more than 7hours) . ##contact 0713190269
  3. Fareal

    Wataalamu tunaipata vipi PD PROXY? kwa wale watumiaje wazuri wa internet

    ulichoonyesh kweny picha kinatosha sana mtu kujua A-Z.. watakao kupm wengin ni wafanya kaz wa mtandao husika...take care kijan.
  4. Fareal

    Wataalamu tunaipata vipi PD PROXY? kwa wale watumiaje wazuri wa internet

    Kutumia kimya kmya unaona shida eeh..?? wenyew wapo hum,,,hesabu mwezi kutoka leo.,kama itaendelea kuwepo.
  5. Fareal

    Hii inawahusu watumiaji wote wa PC

    Tamaa ya hela nyingi kwa mkupuo itakufany ukose hata hizo ndogo unazopata. haya mambo co ya kutangaz hadharan hv ndugu, Think BIG.!!
  6. Fareal

    [TroidVPN for Android v4.x.x] Jipatie 1GB FOR FREE kila Siku

    Guys hii thread ni ya 2013,, vitu vinabadilika jaman.
  7. Fareal

    [TroidVPN for Android v4.x.x] Jipatie 1GB FOR FREE kila Siku

    Hahahaaaaaaah.!!! vitu vya 2013...
  8. Fareal

    Kauli ya Mbowe ilaaniwe na wapenda amani

    upuuzi mtupu,!! ningejua nisingesoma.
  9. Fareal

    Nahitaji Domain name ya .CO.TZ

    kwann usisema hapa jukwaani mkuu,,unaweza ukawapata weng zaid. naamin mweny shida hiyo hayuko peke yake,
  10. Fareal

    Kwa hili wengi tutaisha inauma sana

    5 days left.. loading....,,,,,,,,,,,,,,,,,,!,
  11. Fareal

    Nashindwa muelewa Magufuli kwa kauli hii

    zumebaki siku 5 tu kieleweke,,,
  12. Fareal

    NEC imepiga marufuku Mawakala wa Vyama kuwa na simu vituoni

    Heheheeeeeh,,!! kwahiyo hili ulomwambia hapa sio tusi,,? bac we jamaa unamatusi xana,,
  13. Fareal

    Naomba msaada nimfanye nini Huyu mwizi mchanga wa Mtandaoni ambaye anachipukia

    jamaa mwenywe anaonekana mshamba kinoma, cjui amekuoteaje,,,
Back
Top Bottom