Kwa hili wengi tutaisha inauma sana

Kwa hili wengi tutaisha inauma sana

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
2,434
Reaction score
3,679
Chama tawala na serikali yake wamepuuza elimu kwa kiwango cha kutisha, kuna utani na mizaha mingi sana inafanyika kwenye wizara hii muhimu, then hakuna anayejali.

Taifa lolote duniani linalohitaji maendeleo ya kweli lazima liwapatie watu wake elimu bora. Serikali yetu haitaki kabisa kukiri kuwa huo ndio ukweli, ndio maana hata mawaziri wanaopangiwa wizara hiyo mara nyingi huwa ni wale walioshndwa maeneo mengine au dhaifu sana, nisingependa kutaja majina ya watu, Watanzania wanawajua, lakini ukweli ndio huo.

Sasa najiuliza, akiwa daktari, bwana shamba, mwalimu, nesi, mhandisi, rubani, na mwingine yeyote anayepaswa kuhudumia jamii akiwa ana elimu chini ya kiwango, atatoaje huduma ya kiwango stahiki?

Naiona CCM inaliangamiza taifa. Tanzania inatumia 1% ya pato lake kugharamia elimu, wakati Africa Kusini inatumia 30% ya pato lake kugharamia elimu, kwa hali hiyo kama sio utani ni nini!??
 
Wamechoka akili, mwili na roho lkn still wanakwambia watatawala milele.

Wameuwa kila kitu wakaweka ndani ya tumbo zao.
 
5 days left..
loading....,,,,,,,,,,,,,,,,,,!,
 
Nashangaa shida zote hizi watanzania hawaoni wamelogwa, mara nyingi nasema Mabadiliko ni Maendeleo, Na Kujaribu ni sayansi mbona matanzania hayaelewi kuna nini nyuma ya Pazia, Eti Mtu Hajasoma, Anakula MLo mmoja, Hana uhakika wa kusomesha, KUlima, Mbolea wanachakachua, Bado anasema waendelee haohao eti hawezi kujaribu hata kwa miaka mitano tu kwa nini? mwananchi uko hivyo utasaidiwaje na hizo akili za mgando.?
 
Chama tawala na serikali yake wamepuuza elimu kwa kiwango cha kutisha, kuna utani na mizaha mingi sana inafanyika kwenye wizara hii muhimu, then hakuna anayejali.

Taifa lolote duniani linalohitaji maendeleo ya kweli lazima liwapatie watu wake elimu bora. Serikali yetu haitaki kabisa kukiri kuwa huo ndio ukweli, ndio maana hata mawaziri wanaopangiwa wizara hiyo mara nyingi huwa ni wale walioshndwa maeneo mengine au dhaifu sana, nisingependa kutaja majina ya watu, Watanzania wanawajua, lakini ukweli ndio huo.

Sasa najiuliza, akiwa daktari, bwana shamba, mwalimu, nesi, mhandisi, rubani, na mwingine yeyote anayepaswa kuhudumia jamii akiwa ana elimu chini ya kiwango, atatoaje huduma ya kiwango stahiki?

Naiona CCM inaliangamiza taifa. Tanzania inatumia 1% ya pato lake kugharamia elimu, wakati Africa Kusini inatumia 30% ya pato lake kugharamia elimu, kwa hali hiyo kama sio utani ni nini?

Maendeleo yanahusiana moja kwa moja na "Elimu" maana elimu ndiyo inayokuza michepuo ya akili za binadamu aweze kubuni,kutenda kuvumbua ,kutengeneza vitu mbalimbali na kupata ufumbuzi wa matatizo yanayomkabili.Huwezi kuendelea kama huna elimu.Na elimu ninayoizungumzia hapa sio wingi wav yeti na digrii.Bali ni wingi wa maarifa,ujuzi,utambuzi,weledi, umaizi nautashi wa kujiamini na kujitambua. Maendeleo ni kujikomboa.Na kujikomboa ni kujinasua kwenye makucha ya ujinga,umaskini,dhiki,maradhi,utegemezi na utumwa wa madhila ya ufukara wa akili na mali.Kujikomboa ni kupata mahitaji ya msingi na uhuru wa ukweli.
 
Tusilalamike Lowasa amekuja wakati muafaka..tar 25 hatuhangaiki na wapiga push ups
 
Bila kuitoa madarakani ccm bado matatizo haya yataendelea
 
Chama tawala na serikali yake wamepuuza elimu kwa kiwango cha kutisha, kuna utani na mizaha mingi sana inafanyika kwenye wizara hii muhimu, then hakuna anayejali.

Taifa lolote duniani linalohitaji maendeleo ya kweli lazima liwapatie watu wake elimu bora. Serikali yetu haitaki kabisa kukiri kuwa huo ndio ukweli, ndio maana hata mawaziri wanaopangiwa wizara hiyo mara nyingi huwa ni wale walioshndwa maeneo mengine au dhaifu sana, nisingependa kutaja majina ya watu, Watanzania wanawajua, lakini ukweli ndio huo.

Sasa najiuliza, akiwa daktari, bwana shamba, mwalimu, nesi, mhandisi, rubani, na mwingine yeyote anayepaswa kuhudumia jamii akiwa ana elimu chini ya kiwango, atatoaje huduma ya kiwango stahiki?

Naiona CCM inaliangamiza taifa. Tanzania inatumia 1% ya pato lake kugharamia elimu, wakati Africa Kusini inatumia 30% ya pato lake kugharamia elimu, kwa hali hiyo kama sio utani ni nini?

Sio wamepuuza elimu,CCM wamekwishaua elimu siku nyingi.Wanachofanya sasa ni kuichimbia kaburi.
 
Nashangaa shida zote hizi watanzania hawaoni wamelogwa, mara nyingi nasema Mabadiliko ni Maendeleo, Na Kujaribu ni sayansi mbona matanzania hayaelewi kuna nini nyuma ya Pazia, Eti Mtu Hajasoma, Anakula MLo mmoja, Hana uhakika wa kusomesha, KUlima, Mbolea wanachakachua, Bado anasema waendelee haohao eti hawezi kujaribu hata kwa miaka mitano tu kwa nini? mwananchi uko hivyo utasaidiwaje na hizo akili za mgando.?

mkuu mi mwenyewe huwa nashanga kama sio kulogwa hii itakuwa laana
 
Kila jambo kabla ya kulitenda ni lazima uwe na mikakati. Moja ya mkakati ya ccm kuendelea kubaki madarakani ni kuidhoofisha elimu ili kuwe na wajinga wengi ambao kila kitu watakachoambiwa wataitikia ndiyooooooo! Hebu ona madhila yote wanayofanyiwa na ccm kama ya kuibiwa kodi zao, ufisadi na huduma mbovu za jamii bado hatikisiki na kuchukua hatua na wamegeuza umaskini kama vazi au ngozi ya mwili usiyoweza kuivua.Kila jambo kabla ya kulitenda ni lazima uwe na mikakati. Moja ya mkakati ya ccm kuendelea kubaki madarakani ni kuidhoofisha elimu ili kuwe na wajinga wengi ambao kila kitu watakachoambiwa wataitikia ndiyooooooo! Hebu ona madhila yote wanayofanyiwa na ccm kama ya kuibiwa kodi zao, ufisadi na huduma mbovu za jamii bado hatikisiki na kuchukua hatua na wamegeuza umaskini kama vazi au ngozi ya mwili usiyoweza kuivua. Rai yangu kwa wapiga kura wasifanye makosa wakairudisha ccm madarakani.
 
Back
Top Bottom