Hii inawahusu watumiaji wote wa PC

Hii inawahusu watumiaji wote wa PC

embu fafanua hiyo software nitaitumia kwa muda gani?,ni ya mtandao gani?,nitahitajika kuweka bando? na inafanyaje kazi?
hii software kuitumia ni vyepesi sana kwani kazi yako inakuwa ni kubonyeza connect na setting zingine za awali bas, na hii software niya mtandao wa halotel pekee na hauitakiwi kuweka bando lolote kwani ukiweka bando haifanyi kazi inafanya kazi
 
Kwa wale wanaopenda ku-download movie na vitu vingine vyenye MB kubwa wakati hawana uwezo wa kununua MB nyingi za kudownload movie hata 100, leo nimekuja na software ya kukuwezesha ku-download movie na vitu vingine mbalimbali vyenye MB kubwa kwa speed ya ajabu, kupitia hiyo software unaweza ku-download kitu chochote kile UNLIMITED hata kiwe na Ukubwa kiasi gani. Kama upo interest na hili swala tafadhali wasiliana nami kupitia 0743497079 au 0625789923 Bei ya hiyo Software ni Shilingi 15000/= tu Kwa mwezi .

*ANGALIZO HII NI KWA WATUMIAJI WA COMPUTER TU
Punguza bei, Bora use na wateja wengi wanolipa 5000/= kuliko wateja wachache wa 15000/=...pili hebu itolee maelezo ya kujitosheleza hiyo app kabla hatuja kipigia simu
 
VPN /PROXY???/
nadhani sio ngeni humu....

Sio ngeni ndio, lakini huduma hii ipo kwa sasa humu...?.

Nani anayetoa huduma hii mkuu kwa sasa...?.

Anatoa kwa kiasi gani cha pesa kwa muda wa mwezi mmoja kiongozi ?.

Nakumbukwa njunwa, mwalimu na kama skosei e2themiza na paje walikuwa wakitoa hii huduma, bado wanatoa mkuu...?.

Shukran sana.
 
Kwa wale wanaopenda ku-download movie na vitu vingine vyenye MB kubwa wakati hawana uwezo wa kununua MB nyingi za kudownload movie hata 100, leo nimekuja na software ya kukuwezesha ku-download movie na vitu vingine mbalimbali vyenye MB kubwa kwa speed ya ajabu, kupitia hiyo software unaweza ku-download kitu chochote kile UNLIMITED hata kiwe na Ukubwa kiasi gani. Kama upo interest na hili swala tafadhali wasiliana nami kupitia 0743497079 au 0625789923 Bei ya hiyo Software ni Shilingi 15000/= tu Kwa mwezi .

*ANGALIZO HII NI KWA WATUMIAJI WA COMPUTER TU
Tamaa ya hela nyingi kwa mkupuo itakufany ukose hata hizo ndogo unazopata.
haya mambo co ya kutangaz hadharan hv ndugu,
Think BIG.!!
 
unamaana gani ymollel kuandika vpn/proxy kama ni software za vpn nitajie ni ipi huyu jamaa hataki kututajia ni software ipi Fanya uugwana yfallel
 
Sio ngeni ndio, lakini huduma hii ipo kwa sasa humu...?.

Nani anayetoa huduma hii mkuu kwa sasa...?.

Anatoa kwa kiasi gani cha pesa kwa muda wa mwezi mmoja kiongozi ?.

Nakumbukwa njunwa, mwalimu na kama skosei e2themiza na paje walikuwa wakitoa hii huduma, bado wanatoa mkuu...?.

Shukran sana.
Itakuwa ni Tunnel guru na jamii zote za http(s) tunnel na hata proxy.
Hapa jamaa ameshataja ni mtandao gani wenye chochoro hivyo usitegemee kama itadumu maana inaning'inia padogo tu.
Jamaa watapiga pini mda wowote na watu watakuja kulalaikia Fweza zao hapa mda si mrefu.
 
Kwa wale wanaopenda ku-download movie na vitu vingine vyenye MB kubwa wakati hawana uwezo wa kununua MB nyingi za kudownload movie hata 100, leo nimekuja na software ya kukuwezesha ku-download movie na vitu vingine mbalimbali vyenye MB kubwa kwa speed ya ajabu, kupitia hiyo software unaweza ku-download kitu chochote kile UNLIMITED hata kiwe na Ukubwa kiasi gani. Kama upo interest na hili swala tafadhali wasiliana nami kupitia 0743497079 au 0625789923 Bei ya hiyo Software ni Shilingi 15000/= tu Kwa mwezi .

*ANGALIZO HII NI KWA WATUMIAJI WA COMPUTER TU

Swali langu moja Mjukuu wangu
Naweza share hyo network kwa Computer zaidi ya moja?
 
M interested na hiyo kitu n nimekuchek whatsapp cjakupata , tuma No ya whatsapp bac
 
Kwa wale wanaopenda ku-download movie na vitu vingine vyenye MB kubwa wakati hawana uwezo wa kununua MB nyingi za kudownload movie hata 100, leo nimekuja na software ya kukuwezesha ku-download movie na vitu vingine mbalimbali vyenye MB kubwa kwa speed ya ajabu, kupitia hiyo software unaweza ku-download kitu chochote kile UNLIMITED hata kiwe na Ukubwa kiasi gani. Kama upo interest na hili swala tafadhali wasiliana nami kupitia 0743497079 au 0625789923 Bei ya hiyo Software ni Shilingi 15000/= tu Kwa mwezi .

*ANGALIZO HII NI KWA WATUMIAJI WA COMPUTER TU
Lazma huo ujanja wako utavuja tuu, pia software yako itajulikana tuu chezea bongo

Bora uweke hazarani
 
Back
Top Bottom