Mkuu, katika Maisha hakuna mfumo wa Moja kwa Moja kwamba kila kitu lazima kiende kilivyopangwa au katika mtiririko Fulani, binadamu tunabadirika kutokana na Mazingira tuliyonayo, njia unazopitia wewe na anazopitia Mwingine ni tofauti kabisa, Jinsi unavyoendesha familia Yako, namna unavyopata...
Mkuu, Dunia inabadilika sana kuhusu suala la kimalezi kwa watoto wetu, Hilo jambo ni la kidunia, Mazingira uliyokulia wewe ni tofauti kabisa na Mazingira anayokulia mwanao, Majukumu ya kumuweka mtoto sawa kwa Dunia ya sasa si ya Mama pekeyake, lazima wewe kama mzazi uwe muangalifu kujua mtoto...
Inategemea umeoa mtu wa aina Gani, Mimi binafsi tunashare matumizi na mke wangu, mpaka ada tunalipa Wote tuna Account tunatumbukiza kila mwezi, financially tunasaidiana sana. La uaminifu huwezi mzuia mtu akiamua jambo lake Hata mkeo awe anabaki nyumbani wewe unaenda kazini Bado ana nafasi ya...
Mkuu, Unafikiri Marekani ni Mjinga kutaka cease fire au kwamba hawezi kumpiga Iran? Iran kakaa kwenye moyo wa uchumi ulipo kwa hivi sasa, we fikiria Iran akifunga njia ya kupita meli za mafuta Hali itakuaje duniani? Much worse akisema mnataka kuangushwa kwa serikali yangu na Mimi naharibu visima...
Hii vita sio ya kuichukulia kirahisi rahisi tu kwamba Iran Atapigwa na utawala wake utaangushwa na maisha mengine yataendelea, Mpaka kufikia huko Utawala wa Iran kuangushwa basi uchumi wa Dunia hii utakua hautamaniki. Hii Dunia inaweza kushuhudia Matokeo mbalimbali ya hii vita ambayo...
Hatua ya kwanza, nenda kwa Sheha akuandikie barua kua unahama na katika barua Hiyo itoe orodha ya vitu ulivyo navyo, Barua iwe na picha yako na igongwe muhuli hapo kwenye picha yako.. Kupitia hiyo barua Tra Hautotozwa kodi yoyote utavilipia tu kwenye boti kama gharama ya kubebewa mzigo..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.