Recent content by Fantastic Malinza Jr

  1. Fantastic Malinza Jr

    JIPATIE TOKEN ZA HAMSTER

    kuna token ingine hii ya kichina inaitwa UNIGAME hii utaanza kwa kuingiza ETH wallet address yako kwanza then watakupa code chini utaona neno telegram ingia telegram na jiunge then post code ambayo walikupa code hiyo inaanzia na / http://unigame.com/c/4lhyf4u hiyo ndio link
  2. Fantastic Malinza Jr

    JIPATIE TOKEN ZA HAMSTER

    Habari ndugu zangu kama mnavyojua ktk ulimwengu wa crytpocurrency kadri siku zinavyokwenda unazidi kukua na kupanuka ktk nyanja mbalimbali na kampuni nyingi zimekuwa kila zinapotoa coin zao hutoa free token ili kuvutia watu. Coin hizi huanza na pre sales na baadae wana launch. Watu waliobobea...
  3. Fantastic Malinza Jr

    Fursa ya kujipatia Ethereum (ETH) yenye thamani ya $11

    Habari wanajamvi, Siku za karibuni kulikuwa na mtikisiko wa soko la cyrptocurrency hasa katika coin yao pendwa ya Bitcoin (BTC), kutokana na mtikisiko ule waekezaji wakubwa au makampuni mengi yanayohusika yamekuwa yakitengeneza sarafu mpya za crypto na wengine kuwa wanatoa offer za kupata...
  4. Fantastic Malinza Jr

    Msaada wa unlimited internet ya tunnel guru na PD proxy

    Habari wana jamvi? Nilikuwa naomba msaada kwa anaejua na unlimited internet ya Tunnel guru au pd proxy. NB: Matapeli hamtakiwi.
  5. Fantastic Malinza Jr

    Vipi kuhusu Bachelor of agriculture economics and agribusiness?

    Degree Program zote hizo mbili zinahitaji ujitume... SUA sio sehem ya majaribio, inahitaji ujipange na hiyo Land Management sio degree ya kitoto. Kama umesoma HGE na EGM na huna misingi ya Physics usiende Land Management utajichimbia kaburi mwenyewe...
  6. Fantastic Malinza Jr

    Naombeni msaada kutoa icloud email

    Mwaka juzi bro alinunua ipad min 3 akatengeneza icloud account n mwaka jana ameniachia na bahati mbaya amesahau icloud password yake na mm inanitesa sielewi ni njia gani ya kuitoa icloud email na kuweka yangu. Mwenye uelewa please msaada. Email aliyoifungua ni md@amazongroup.co.tz
  7. Fantastic Malinza Jr

    Just IN: Diamond Atangazwa Mshindi MTVEMA

    Nipe link ya kupigia kura nikafanye nyangu.... Dangote ndio mfalme wa muzik...
  8. Fantastic Malinza Jr

    Msaada jinsi ya ku-update mkopo loan board

    Habari zenu wa kubwa, mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza, nimeambiwa kunaissue ya ku-update mkopo from loan na kila nikijaribu kufanya nashindwa hivyo tafadhali nilikuwa naomba msaada wenu wa procedures pamoja na link ili ni update mkopo. Thank u in advance
Back
Top Bottom