JIPATIE TOKEN ZA HAMSTER

Aug 23, 2013
9
5
Habari ndugu zangu kama mnavyojua ktk ulimwengu wa crytpocurrency kadri siku zinavyokwenda unazidi kukua na kupanuka ktk nyanja mbalimbali na kampuni nyingi zimekuwa kila zinapotoa coin zao hutoa free token ili kuvutia watu. Coin hizi huanza na pre sales na baadae wana launch. Watu waliobobea ktk crypto hununua coin wakati zikiwa bei chini na huuza pale zinapopanda bei. Hivo kama ni mvumilivu unaweza kuvumilia mpaka zipande bei na uuze.

Nitakuwa nawalete coin mbalimbali ambazo zipo ktk airdrop na wale wenye malengo mnaweza kujiunga na kungojea mpaka pre sales.

Wenye maswali nitawajibu.

Pia ni muhimu kuwa na telegram account, na pia fungua account na my etherwallet MyEtherWallet.com: Your Key to Ethereum na hakikisha ile private key unaitunza vizuri maana ile ndio password yako ya kuingilia. Ukiingia utakuta account yako inaanzia na 0x... hivo ukiwa unajisajili wakidai ETH wallet au ERC20 wallet unajaza hiyo address. Ukipata shida usisite kuuliza.

Hey,

Have you entered this competition to win Hamster - AIRDROP and chance to win share of 6000 tokens (12 000 USD) yet?

If you refer friends you get more chances to win :)

Hamster - AIRDROP and chance to win share of 6000 tokens (12 000 USD)

hiyo juu ndio link
 
kuna token ingine hii ya kichina inaitwa UNIGAME hii utaanza kwa kuingiza ETH wallet address yako kwanza then watakupa code chini utaona neno telegram ingia telegram na jiunge then post code ambayo walikupa code hiyo inaanzia na /

http://unigame.com/c/4lhyf4u


hiyo ndio link
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom