Msaada wa unlimited internet ya tunnel guru na PD proxy

Msaada wa unlimited internet ya tunnel guru na PD proxy

Kajaribu Hiyo trick ya hapo juu then rudi tena utoe ushuhuda.
Kifupi Chochoro zipo ila hawapewi wavivu kama wewe
modem yangu kama hii waliifunga line, sikuitumia kitambo sana!
 
Haya nimekuja!!
Fantastic Malinza Jr Tafuta limodem la zantel lile la zamani Huawei EC122 jaribu na Pdproxy au Cproxy ukiona linasongesha jiongeze
images
ngojea nikaijaribu
 
Jaribu kuweka mambo kisiri siri mara mbili umfuate mtu PM
 
Back
Top Bottom