Msaada jinsi ya ku-update mkopo loan board

Aug 23, 2013
9
5
Habari zenu wa kubwa, mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza, nimeambiwa kunaissue ya ku-update mkopo from loan na kila nikijaribu kufanya nashindwa hivyo tafadhali nilikuwa naomba msaada wenu wa procedures pamoja na link ili ni update mkopo. Thank u in advance
 
we mbulula kwel, bila shaka uko chuo kimojawapo cha kata, ndomana afisa mikopo akawepo chuoni unafikiri kazi yake kudeki vyoo ee, no more ku update mkopo, motokeo yako yatapelekwa bodi na mkopo kama kawa usome basi hata website ya bodi khaa! wadanganyika jamani??
 
Back
Top Bottom