Siku upinzani ukitaka kushinda siasa za
Ccm lazima Kwanzaa wajifunze kuisoma mifumo ya nchi yao Tanzania ipoje na namna yakukabiliana mayo. Mifumo Kama ya usalama na tume ya uchaguzi imefungamana na siasa za ccm,kutokuwa na maelewano na taasisi hizi mbili kuiangusha ccm ni vigumu. Karata...
KOMBORA KIOTANI
(VITA KUU)-1
Book 2
Boniface Birage
Tone la umande lilitua kwenye paji la uso.Mwili ulikwisha shtuka dhidi ya baridi kali iliyokuwa ikifyonzwa kwenye ngozi yake na kuzama ndani kutikisa hali joto ya mwili wake.Baridi ilikuja na yeye kuipokea kisha akumbatie maumivu yake.Wazo la...
KOMBORA KIOTANI-45
BONIFACE BIRAGE
“Ni heshma kubwa kukuona mheshimiwa rais Serambovu.Umefanya kazi nzuri.Kutana na THE BIG BOYS.”alitamka mmoja wao.
Serambovu aliwatizama ulimi ukawa mzito kwa upande wake.
“Kuna machache lazima utakuwa huyajui.Tumeamua kujitokeza kabla hujatoa...
KOMBORA KIOTANI-43
BONIFACE BIRAGE
“Kwanza nataka kutangaza hali ya hatari before anything.”alisema Serambovu akimtizama jenerali Lupogo aliyesimama hatua chache kutoka pale.Jenerali alimsikiliza.
“Ungetangaza kwamba umechukua nchi kisha utangaze hali ya hatari.Ni safari ngumu nap...
KOMBORA KIOTANI-42
BONIFACE BIRAGE
Ilikuwa hatari kwake.Hatari iliyomtisha na kumdhoofisha na akashindwa kujua anajisaidiaje.Walinzi wa rais walimweka chini ya ulinzi mkali sana na tayari walikuwa mbioni kumuadabisha nap engine wangemuua palepale.
Dedani akajua amewekwa sehemu mbaya na...
KOMBORA KIOTANI-41
BONIFACE BIRAGE
TULIPOISHIA
DEDANI ANAOKOLEWA MIKONONI MWA WATEKAJI NA SHUNIE ANAPELEKWA SEHEMU YA SIRI NA AFISA HUYO WA USALAMA.HUKO DEDANI ANAMWAMBIA UKWELI SHUNIE KWAMBA AMEMSHAMBULIA MTU ANAITWA TWALIPO NA SASA ANASAKWA NA...
KOMBORA KIOTANI-40
BONIFACE BIRAGE
Hawezi kwenda ndani polisi wa mkamate hata iweje.Huku nikuleta skendo nyingine ambayo ingemtafuna maana hadi sasa ana operesheni ngumu sana na kkitendo cha kumzimisha bwana Twalipo ni hatua kuchafuka.Jambo...
Kombora kiotani-39
Boniface birage
Tulipoishia baada ya shunie kupinga ndoa yake na pablo ugomvi mzito umezuka na shunie kutimuliwa ukweni.upande wa pili dedani anapewa taarifa za kukutana na mtu anayeitwa twalipo kwa lengo la kupiga ushawishi bwana huyu ateuliwe kuwa makamu...
KOMBORA KIOTANI-38
BONIFACE BIRAGE
TULIISHIA RAIS KILUA KESHA PATA USHAURI WAKUUNDA BARAZA LAKE LA MAWAZIRI PAMOJA NAKUMTEUA MAKAMU WA RAIS NA WAZIRI MKUU.VILEVILE RAIS KILUA ANAHITAJIKA KUTEUA TEUZI MPYA ILIKUUSIMIKA UTAWALA HASA AKIJUA ANAKIBARUA KIKUBWA CHA KUIRUDISHA TAIFA LA KIOTA...
BONIFACE BIRAGE
KOMBORA KIOTANI-37
Tulipoishia Kilua agundua maadui wa taifa lake na wahujumu rasilimali za taifa.Atafanyaje kuwajua nakuwadhibiti.Je,ataweza kuwa fahamu wote waliohusika kusuka mpango wa kuisambaratisha serikali ya Kisusi?Upande mwingine tunamuona Shunie akiwa katika wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.