Recent content by fame

  1. F

    Tundu Lissu asema watoto wake hawawezi kusoma shule za kata

    Rediculous! Shule za makanisa wanaweka ada nafuu kuliko shule nyengine za binafsi. Umeangalia ada za shule kama vile Feza?? Anayetakiwa kusimamia sera ya elimu ni nani? Mbona hakuna usimamizi kwenye hizi shule za binafsi na za mskanisa zikiwemo. Kwangu mimi shule zilizo chini ya makanisa ada...
  2. F

    Tundu Lissu asema watoto wake hawawezi kusoma shule za kata

    Hata mimi ninaziita za kipumbavu na hapa ndipo serikali yetu ilipotufikisha. Labda niulize, Lizaboni unaweza kumuacha mwanao asome shule ya kata kama una uwezo wa kumsomesha shule mbadala? Let's face reality, public schools are laughing stock these days. Tulishaambiwa tusiingize siasa kwenye...
  3. F

    Tamko kutoka Kigoma kuhusu kuondoka kwa waliokuwa viongozi wa mkoa wa CHADEMA

    I happen to meet the guy, he is straight and understand that the party is not about a person but rather an institution. Tulikubaliana kwamba taasisi ilijengwa zaidi ya miaka 22 haiwezi kutetereka sababu ya watu wachache. CDM wana nguvu ni suala la kupata watu makini mkoani na si wafanya...
  4. F

    Tamko kutoka Kigoma kuhusu kuondoka kwa waliokuwa viongozi wa mkoa wa CHADEMA

    Sidhani kama ni mlafi wa madaraka. Huyu ana msimamo wa kimaisha (kwa hali ya Kigoma) hivyo hawezi kutumika. Ana biashara zake na maisha standard wakati wakina Kasisiko wanafanya biashara ya siasa. Mnyonge mnyongeni ila apewe haki yake. Misimamo yake nadhani ndio inawapa shida kwani ana uhakika...
  5. F

    Wanafunzi 11 wa chuo kikuu cha Mwenge-Moshi wamesimamishwa Masomo kwa sababu za kiimani!

    Bob G, sidhani kama uliyosema ni ya kweli. Kama Yesu alimtibu mtu siku ya sabato kwanini wao washindwe kufanya mitihani siku ya sabato? Wakati mwingine sielewi kama wanafunzi wa siku hizi waelewa umuhimu wa kilichowapeleka shule, tena mwanachuo!! Wana yao tu hawa
  6. F

    Ya Prof. Mukandala, Dr. Bana, taasisi za REDET/ TEMCO na principle of good governance

    Wanajamvi heshima kwenu, najitokeza kilingeni kuwaomba tujadili kuhusuwanataaluma pamoja na taasisi tajwa juu. Prof. Mukandala ametajwa sehemu nyingi kama ‘brain behind’ MPANGOWA UTAFITI NA ELIMU YA DEMOKRASIA TANZANIA ‘REDET’ ambayo pia ilihusishwana harakati za Raisi wetu ndugu Kikwete kuingia...
  7. F

    Kitisho cha Dr. Slaa si zaidi ya Mrema - Kinana

    Mkuu usihangaike na ndugu Mzizi. Kwenye mambo ya biashara unaposafirisha mzigo lazima kuwe na mkataba. Moja ya mambo ya msingi ni certificate of origin, bill of lading ambayo huonyesha aina ya mzigo ulioingizwa kwenye chombo na thamani yake, cheti cha uchunguzi na kadhalika. Sasa swali ni kwamba...
  8. F

    Hawa ndio washindi kuingia NEC ya CCM kwa uchaguzi wa Nov 11, 2012

    Unamaanisha mambo ya Stalin?...quote 'those who cast votes decide nothing. Those who count the votes decide everything'. Haya ya vyama vya ukomunisti kawaida sana hivyo hatuwezi kumind kwa chaguzi zenu za ndani ila kwenye chaguzi za njee ndio tunashangaa. Hatupendcommunism
  9. F

    Tanzania: Fake phones to be blocked soon!

    It was just a ploy by govt. Sasa hapa unaweza weka nadharia nyingi ikiwemo uwezo wa kutumia jumbe za uchochezi na anonymous wakati wa uchaguzi 2010 na mambo kama hayo..
  10. F

    Hata nikibaki peke yangu, CCM haifi - Nape

    Kweli? Naamanisha unaamini ulichokiandika!!? Unausemea moyo wa Nape.. He was talking at that Misenyi public rally for the sake of talking maana kama anaamini angekanusha ile kashfa ya kuanzisha chama ndani ya chama...and plse don't compare him to mwl kwani ni muktadha tofauti. I can bet my last...
  11. F

    Kikwete 'awapakazia' viongozi wa dini biashara ya madawa ya kulevya

    we sss ina maana president anawapa muda wajirekebishe eeh!!? Very myopic! Mtu umekula kiapo ukishika koran tukufu kuilinda na kuitetea katiba halafu uachie jinai hv hv? Kweli! Kuna 'ombw
  12. F

    Kikwete 'awapakazia' viongozi wa dini biashara ya madawa ya kulevya

    Msimlaumu jmk bali walaumuni viongozi wenu wa dini. Sijawahi kuckia bishops/imams& ulamaa have invited political leaders and let them have podiums esp in secular states like tz! This tendency which started in pre independency has grown and will bring chaos. Have u heard us presdents/ english pm...
  13. F

    Commissioner CHAGONJA: AN OBLIQUE STATEMENT

    huyu kada bado anakumbuka enzi ya jeshi kuwa sehemu ya chama na si chombo cha uma. Most of them were supposed to be part of political system b4 being commissioned ndio 7bu ya kuogopa kuwapa wasomi dot com vyeo
  14. F

    Dakika 45, ITV na Waziri Lukuvi

    yeah tumemsikia akitumia kodi ze2 kujibu shutma huku akijinasibu kwamba watz wataona ni kinanani watakuwanachakuonyesha mwishoni! Cheap politiks! Nani asiyejua kwamba ccm ndiyo yenye govt na ndiyo wanaokusanya kodi ze2. We need accountability& not mere words. Btw, one way communication bore a...
Back
Top Bottom