Hata nikibaki peke yangu, CCM haifi - Nape

Hata nikibaki peke yangu, CCM haifi - Nape

Nilichofurahia kwenye huu uzi ni kukutana na James Millya!! Hivi ndiye yeye kweli au magumashi!? Kama ndie basi kijana umejisalimisha kiukweli!!

Karibu sana tuendeleze gurudumu la ukombozi!! SAFI SANA KIJANA!!
 
Dogo Mjanja anaangalia lile jengo la umoja wa vijana alilokuwa akisimamia linampa kiwewe anajua pale ndipo atakapokula, by theway he is a peanut in the party there was many and many popular in the party who they were not bale to say such a stupid word, kesho atasema nini na chama changu kama Mwenyekiti wake alivyofanya Urais mali ya familia yake
 
Nadhani baada ya kumtaja Nape sasa utalala.... Aaaah hahahaa magamba bwana mna tabu sana!

Bwana mdogo unataka CCM ife mara ngapi ndo uelewe? Mmekalisha maiti ya baba yenu kwenye kiti mnajifariji yuko hai? Afanaleki! Yaani nyinyi majuha kweli!
 
Angalia vocha ulopewa na Dr kujadili positive mkutano wenu wa kisanii jangwani isijeisha ikaadhibiwa bure, angalia wote mnajadili Nape badala ya kujadili kwanini mmetumia 500mill na mkutano wenyewe ndo ule, wale vijana mlowanunua kuja na nguo za CCM wamekimbilia wapi?

Nape wakati mwingine ukimya wako unakusaidia kuficha ujinga wako.
 
kwani kinachokulisha wewe ni nini?huna maana kabisa wewe.you look like a woman asiye na msimamo.nape is a strong man!he always faces th challenges and nt run after them like u did.na huko nadhani utakimbia tu.f.a.l.a

f.a.l.a. mwenyewe usimtishe mtu hapa! Mwenzenu mjanja kasoma alama za nyakati; unasikia we f.a.l.a.? Sasa nyinyi mnaojifanya mashujaa subirini mfe kigadafi.

CHEZA NA MPIRA BANA, USICHEZE NA NGUVU YA UMMA!
 
Angalia vocha ulopewa na Dr kujadili positive mkutano wenu wa kisanii jangwani isijeisha ikaadhibiwa bure, angalia wote mnajadili Nape badala ya kujadili kwanini mmetumia 500mill na mkutano wenyewe ndo ule, wale vijana mlowanunua kuja na nguo za CCM wamekimbilia wapi?

wewe Nape huwa unatumwa na nani maana wewe ni mnafiki ndo unaiua ccm au ndo unataka ubaki na hiyo ccj yenu unaropoka ropoka sana walah mwenyekiti angekuondoa maana ndo unaimaliza kabisa
 
Nape ni bora tu aanzishe kampuni ya kufua nepi za watoto wadogo!
 
na wewe unachekesha sana.ulitaka angeanzia vipi?au angehamia kama magwanda wanavyofanya!
Kuna watu wanajiunga vyama vya siasa kwa sababu na malengo, malengo yasipotimia, huhama vyama na kujiunga vyama vingine. Huko nako malengo yasipotimia nako huhama au hata kurudi walipotoka.

Lakini kuna wale waliozaliwa ndani ya vyama, hawa wako kwenye hivyo vyama bila sababu, hawa ndio hao watakaofia kwenye hivyo vyama, hawana mission wala vission. Wao wapo kwa sababu tuu wapo, kwa vile hawana sababu ya kuwepo, pia hawawezi kuhama kwa sababu pia hawana sababu ya kuhama!.
 
Angalia vocha ulopewa na Dr kujadili positive mkutano wenu wa kisanii jangwani isijeisha ikaadhibiwa bure, angalia wote mnajadili Nape badala ya kujadili kwanini mmetumia 500mill na mkutano wenyewe ndo ule, wale vijana mlowanunua kuja na nguo za CCM wamekimbilia wapi?

acha ubinafsi, kweli posts 300 halafu like given 0! unapewa ww tu likes(306). unachukia comments zetu hivi! zote hazina mashiko! we kiboko.
mwenye ID sidhani kama ni Nape jnr
 
QUOTE=Nnauye Jr;3940728]Angalia vocha ulopewa na Dr kujadili positive mkutano wenu wa kisanii jangwani isijeisha ikaadhibiwa bure, angalia wote mnajadili Nape badala ya kujadili kwanini mmetumia 500mill na mkutano wenyewe ndo ule, wale vijana mlowanunua kuja na nguo za CCM wamekimbilia wapi?[/QUOTE]

acha ubinafsi, kweli posts 300 halafu like given 0! unapewa ww tu likes(306). unachukia comments zetu hivi! zote hazina mashiko! we kiboko.
mwenye ID sidhani kama ni Nnauye jr
 
Maneno hayo yamesemwa na Nape akiwa huko Bukoba. Sijui alikuwa anafurahisha nafsi au alikuwa anataka kuonyesha kuwa kwa cheo alichonacho hawezi tena kwenda South kuchukua rasimu ya Katiba for CC...!

Source: Taarifa ya habari ya saa mbili usiku huu ITV

labda atuambie katiba yao inasemaje kama atabaki mwanachama mmoja tu, je chama kitakuwa hai bado?
 
Its better to keep your mouth closed and let people think you are a fool than to open your mouth and remove all the doubts
 
Ni msimamo mzuri. Tegemeo ni kuwa ni msimamo wenye nia ya dhati.

Kwa maana nyingine ni kuwa Nape ni CCM na CCM ni Nape. Bila CCM hakuna Nape, na bila Nape hakuna CCM.

Wengine mnaweza kuona kuwa ni kama majivuno na kujitukuza, ila kama kweli Nape anaamini hivyo na kusimamia hivyo, hiyo ni haki na halali yake kabisa. Hata Mwalimu alisimamia TANU hivyo hivyo, japo kwa malengo tofauti na haya ya CCM ya sasa.

Kweli? Naamanisha unaamini ulichokiandika!!? Unausemea moyo wa Nape.. He was talking at that Misenyi public rally for the sake of talking maana kama anaamini angekanusha ile kashfa ya kuanzisha chama ndani ya chama...and plse don't compare him to mwl kwani ni muktadha tofauti. I can bet my last tshs, Nape didn't believe what he said...AJIRA, ndugu Kiungani!
 
Huyu jamaa nilikuwa namheshimu sana lakini amenitoka kabisa. Kinachonisikitisha sana huyu jamaa anauelewa mzuri tu lakini amekuwa mtumwa wa fikra kukubali kuishi kwa mawazo ya magamba na kwa umri wake amepotea ni wa kumuonea huruma sana sijui tumsaidieje ni jambo la kuhuzunisha sana kama unaona kijana kama huyu ana mawazo ya kizamani HATARI. Jambo la kufahamu kwa nape hivi sasa watu tunajua leo hii CCM haihitaji kujilinganisha na CDM inatakiwa ituambie kuhusu ukosefu wa maji,umeme,huduma duni za hospital,shule ambazo wanafunzi wanafaulu wakiwa hawajui kusoma (MAAJABU YA DUNIA),dar es salaam yote ni jalala, maufisadi na matakaka mengine mengi hivi huyaoni. UKISTAAJABU YA MAGAMBA UTAONA YA CCM
 
Dogo Mjanja anaangalia lile jengo la umoja wa vijana alilokuwa akisimamia linampa kiwewe anajua pale ndipo atakapokula, by theway he is a peanut in the party there was many and many popular in the party who they were not bale to say such a stupid word, kesho atasema nini na chama changu kama Mwenyekiti wake alivyofanya Urais mali ya familia yake

Usidandie lugha za watu.
Kiinglishi chako kinatia najisi lugha ya wenyewe.
Kwani kuna ubaya gani ukiandika kwa lugha yetu tukufu ya Kimatumbi?
 
Back
Top Bottom