Recent content by falcon Q

  1. falcon Q

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ma-HR katika Mradi wa SGR Mwanza – Isaka wachunguzwe. Wanajineemesha kwa kufukuza watu kazi

    Binafsi nitachunguza nione uhalali wa hii taarifa
  2. falcon Q

    JamiiForums Tanzania Samia moja ya ubora wake ni kuongea ukweli kuhusu uwezo wake. Hapendi majivuno anakubali hali na sifa zake hata kama nyingine ni dhaifu

    🤣🤣🤣 Tushaacha just rate andiko la mwandishi nguli
  3. falcon Q

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Mijadala JamiiForums: Zana Mpya za Akili Unde (AI) zinakuja Wikendi hii!

    Mzee Mafuta tatizo kweli ila mado so shida gari za umeme ziamnza kuingia tangu 2023 tulipuuza
  4. falcon Q

    JamiiForums Tanzania Kufananisha Subaru SJG na LC 300 series ni matusi!

    Hebu tuiweke kwenye mfumo wa kiufundi bila mihemko: 1. Engine, Torque & Purpose Toyota Land Cruiser 300 3.3L V6 twin-turbo diesel ~700Nm Imetengenezwa kwa low-end torque (kuvuta, kupanda, off-road) Subaru Forester SJG 2.0L turbo ~350Nm (approx) Imetengenezwa kwa responsiveness na everyday...
  5. falcon Q

    JamiiForums Tanzania Samia moja ya ubora wake ni kuongea ukweli kuhusu uwezo wake. Hapendi majivuno anakubali hali na sifa zake hata kama nyingine ni dhaifu

    Hili andiko sikutegemea lingetika kwa Robert Heriel Mtibeli nikajua ni Lucas Mwashambwa
  6. falcon Q

    JamiiForums Tanzania Samia moja ya ubora wake ni kuongea ukweli kuhusu uwezo wake. Hapendi majivuno anakubali hali na sifa zake hata kama nyingine ni dhaifu

    Ama Marking scheme Part one introduction 1: introduction 10 marks Results 10/10 2: Part two main body 80 marks Results 0/80 3: Part three conclusion, 10 marks Results 0/10 Wasome wenzangu mtanirate maana so kila moja anajitambua🙏🏾
  7. falcon Q

    JamiiForums Tanzania Ndege zinazostaafishwa huwa zinapelekwa wapi?

    Hupelekwa graveyard
  8. falcon Q

    JamiiForums Tanzania Tumia Hizi Siri 7 Kukagua Simu Ili Usitapeliwe na Kuuziwa Feki / Grade Namba 2

    Kiasi gani mkuu niangalie kama naweza
  9. falcon Q

    JamiiForums Tanzania Tumia Hizi Siri 7 Kukagua Simu Ili Usitapeliwe na Kuuziwa Feki / Grade Namba 2

    🤣🤣Bora umejijibu mwenyewe Kuna kitu nakihitaji kwenye hizo simu mkuu
  10. falcon Q

    JamiiForums Tanzania Tumia Hizi Siri 7 Kukagua Simu Ili Usitapeliwe na Kuuziwa Feki / Grade Namba 2

    Boss natafuta Redmi note 10 au 11 bei gani
  11. falcon Q

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mojtaba Ali Khamenei kumrithi Ayatollah Ali Khamenei baada ya kuuawa baba

    Yupo mwana mfalme anaungwa mkono na marekani
  12. falcon Q

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msemaji wa M23, Willy Ngoma auawa kwa shambulio la Droni

    Kuna hii chuma ilizunguka sana juzi jumanne kwa nlihisi tu so bure Kuna jambo ingawa siwezi sema moja kwa moja USA anahusika
  13. falcon Q

    JamiiForums Tanzania Gari unazoweza kukuta ni namba E alafu mmiliki wake anatafuta mteja hata kwa bei chee na bado watu wanaikimbia

    Kuna chuma hii Ford escape sijui watu wanaiogopeaga nini ni gari haswa haswa
Back
Top Bottom