Recent content by fakisi

  1. F

    JamiiForums Tanzania Bungeni pawaka: KURA YA SIRI vs KURA YA WAZI

    Wapumbavu hao achana nao, wanajali matumbo yao na maslahi ya familia zao na si kinginecho
  2. F

    JamiiForums Tanzania Msingi wa nyumba

    Jenga chumba kimoja mbali na eneo unalotegemea kujenga ghorofa ili baadae kiwe stoo au servant quarter. Ukipata hela anza kujenga ghorofa moja kwa moja na msingi wake kama mchoro/boq yako inavyoonesha
  3. F

    JamiiForums Tanzania Anaehitaji Nissan Xtail

    Wewe kweli ni f,a.l.a kama una hela si ununue! Kichwa maji...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Anaehitaji Nissan Xtail

    Hiyo umeoa ndoa ya kikristo ndugu yangu, ni wa kufa na kuzikana! Labda ukauze Sumbawanga..
  5. F

    JamiiForums Tanzania Waziri Kagasheki ajiuzulu; David Mathayo, Nchimbi na Nahodha watimuliwa na Rais Kikwete!

    Ni Dr Mathayo David, Kagasheki, Nchimbi na Shamsi Vuai Nahodha Source: ITV taarifa ya habari
  6. F

    JamiiForums Tanzania KOVA: Kapuya hana kosa la kuhojiwa ni mambo yake binafsi

    Kwa umri na heshima ya Kapuya, kuguswa na kutuhumiwa tu kwa hayo tayari hakumpi nafasi ya kuheshimiwa tena kwenye jamii! By the way, nae ulikutana nae kama Mwigulu Nchemba na kumuona ana akili sana!?
  7. F

    JamiiForums Tanzania Ritta Kabati azidi kuivuruga CHADEMA Iringa, Msigwa na Silinde wakubali kushindwa

    Mkubwa naona umeamka na ulanzi kichwani!
  8. F

    JamiiForums Tanzania CCM kuendelea kuwatumia wanafunzi kwenye mikutano yao

    Kwenye hiyo picha wanaonekana wanafunzi wakiwa na sare za shule chini na juu wamevaa sare za CCM, na unaonekana ni muda wa masomo huo. Hivi ni lini CCM itaacha kuwatumia wanafunzi kwenye mikutano yake? na wazazi wa hawa wanafunzi wanaridhika na haya?
  9. F

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Lobster( Kamba Kochi)

    Hao watakuwa ni wadogo (gramu 500 kwenda chini), bei ya kamba koche kwa sasa ni Tsh 42000 kwenda juu kwa kama wakubwa
  10. F

    JamiiForums Tanzania Utitiri wa baa Kinondoni

    Karibu Tusker hapa Meridian!
  11. F

    JamiiForums Tanzania Cheap Brandnew laptops

    Hiyo ya laki 4 ina specifications zipi?
  12. F

    JamiiForums Tanzania Mafia

    Boti unapandia Nyamisati ni kuanzia saa 4 asubuhi, nauli ni Tsh 10,000 na masaa 6 upo Mafia. Kufika Nyamisati unapandia gari Mbagala (uwepo pale saa 12 asubuhi na nauli ni 5,000 hivi. Ndege zipo ni Tsh 105,000 na 120,000 one way na ni dakika 35 tu Dar to Mafia! Karibu Mafia
  13. F

    JamiiForums Tanzania Kawe: Vurugu zaibuka, Wananchi wavamia kituo cha Polisi! Mabomu yarindima

    You have an allergy with word CHADEMA, looks like you are well paid for your duty! Hongera...
  14. F

    JamiiForums Tanzania ‘Halmashauri Ilala hauhisiki kuanguka jengo la ghorofa 16’

    Wao ndiyo wanatoa kibali cha ujenzi, hawawezi kukwepa hili!
  15. F

    JamiiForums Tanzania Jengo la ghorofa zaidi ya 12 laanguka jijini Dar

    Tutupieni picha, jengo lenyewe lilikuwa linajengwa au tayari lilikuwa na wapangaji ndani?
Back
Top Bottom