Jengo la ghorofa zaidi ya 12 laanguka jijini Dar

Jengo la ghorofa zaidi ya 12 laanguka jijini Dar

Informer

Platinum Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,628
Reaction score
6,816
Imetokea leo hii dakika chache zilizopita Morogoro Road na Indira Gandhi (City Centre - Dar)

attachment.php

308207_10151505185183058_749260888_n.jpg


Kuna ghorofa limeanguka mjini katikati, Dar es Salaam. Haijajuilikana ni mtaa gani coz wote wanao toa taarifa inaonekana akili haijatulia, yaani wamepata kiwewe.

Ilikuwa inajengwa gorofa 14. engineer aliye kuwa anajenga ametambulika kama Razak. Polisi wapo lakini wamekuja na fimbo tu wakizuia watu kupita. Ndani kulikuwemo wafanyakazi wengi wakiwemo mama ntilie lakini hadi sasa watu wanne ndo wametoka tu. Magari yaliyokuwa yamepaki na mengine yakipita barabarani yamefukiwa.

Naendelea kufuatilia...

Juhudi za kuokoa zinazidi kwenye eneo la ghorofa lililoanguka mtaa wa Indira Gandhi na Morogoro, na sasa naona Jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) wameingia la Lori lao, ingawa ni kwa kuchelewa kwani ajali imetokea tangu saa mbili na sasa ni saa sita, watu wengine wanakuja na magari kuangalia hivyo wamesababisha foleni ambazo hazihitajiki, Magari ya viongozi wa serikali, STK, na STJ AU DFP yangeondolewa kuacha wachapakazi wanaookoa uhai wa watu. Hawa wanaofika kutoa matamko, au kuuliza idadi ya waliofariki na majeruhi wangetulia hali ya kuokoa iendelee kwani kazi kubwa inahitajika........... Makampuni mengine naona wanaleta magari ya kusomba kifusi kwa wingi sijui kwa kujitolea au la, ila Ambulance zipo za kutosha sana, na magari ya zimamoto leo yamewahi ingawa hakuna moto, yamekaa kwa tahadhari. Poleni sana watanzania wenzangu




Picture Updates:


524080_462172990528633_1316213520_n.jpg

Mabaki ya jengo hilo lililoporomoka jijini da es salaam amablo lipo barabara ya morogoro mtaa wa indiana.Huku ni mashuhuda watukio hilo wakiwa eneo hilo muda huu..Maiti zaidi zinaokolewa bado idadi kamili haijafahamika mpaka sasa.​
Endelea kupitia audifacejackson blogspot kwa taarifa ziadi

​

IMG-20130329-WA0000.jpg


​
 

Attachments

  • ajali-ghorofa.jpg
    ajali-ghorofa.jpg
    37.8 KB · Views: 27,515
Bila shaka mambo ya Ujenzi wa Kulipua, ni hatari sana.
 
Tutupieni picha, jengo lenyewe lilikuwa linajengwa au tayari lilikuwa na wapangaji ndani?
 
Kuna ghorofa limeanguka mjini katikati, Dar es Salaam. Haijajuilikana ni mtaa gani coz wote wanao toa taarifa inaonekana akili haijatulia, yaani wamepata kiwewe.

Ilikuwa inajengwa gorofa 14. engineer aliye kuwa anajenga ametambulika kama Razak. Polisi wapo lakini wamekuja na fimbo tu wakizuia watu kupita. Ndani kulikuwemo wafanyakazi wengi wakiwemo mama ntilie lakini hadi sasa watu wanne ndo wametoka tu. Magari yaliyokuwa yamepaki na mengine yakipita barabarani yamefukiwa.

Naendelea kufuatilia. mia
 
Bora leo ni public holiday vinginevo madhara yangeweza kuwa makubwa zaidi
na usikute ni yale ambayo chini linatumika juu linaendelea kujengwa-kamtindo kamepamba moto haka siku hizi sijui nani anaruhusu
 
Jamani fanyeni faster mkawaokoe watanzania wenzetu
 
Kuna ghorofa limeanguka mjini katikati, dar es slaam. haijajuilikana ni mtaa gani coz wote wanao toa taarifa inaonekana akili haijatulia, yaani wamepata kiwewe.
Ilikua inajengwa gorofa 14. engenear aliye kuwa anajenga ametambulika kama razak. polisi wapo lakini wamekuja na fimbo tu wakizuia watu kupita. ndani kulikuwemo wafanyakazi wengi wakiwemo mama ntilie lakini hadi sasa watu wanne ndo wametoka tu. magari yaliyo kuwa yamepaki na mengine yakipita barabarani yamefukiwa. Naendelea kufuatilia. mia

Imetokea leo hii dakika chache zilizopita Morogoro Road na Indira Gandhi (City Centre - Dar)
Source Informer
 
Last edited by a moderator:
Tenda wanapeana,mamlaka inayohusiana na upimaji wa viwango vya haya magorofa iwajibishwe

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
inasikitisha kwa kweli huu ujenzi holelaholela unaoendelea katikati ya mji ni balaa tupu
 
Watu zaidi ya sitini wahofiwa kufukiwa.
 
7366724_orig.jpg

Taarifa lizizotufikia hivi punde zinasema kuna
Jengo jipya lililokuwa linajengwa limeporomoka na kuangukia msikiti (kama inavyoonekana pichani) asubuhi hii mwendo wa saa mbili u nusu, katikati ya jiji la Dar es Salaam, kwenye barabara ya Mororogo, punde tu baada ya Kisutu.
​
Taaarifa zaidi zinasema takribani watu 60 wamefariki.

5644883_orig.jpg


6155904_orig.jpg

​
 
Back
Top Bottom