Anaehitaji Nissan Xtail

Anaehitaji Nissan Xtail

Usikazane chupa kuita almasi, rekebisha maelezo sema ni used in good condition.
Porojo nyiiingi...wabongo bhana...kama huwez nunua si ubaki unatamani tu mkuu? Siku yako ikifika nawe utamiliki gari..
 
haya wewe sema nissan gani(model) utakayo lingalisha na toyota yoyote hapa uiweke tuidadavue..au ni x-trail..x-trail ni unreliable car period..utake usitake sana sana unataka kumuhamishia matatizo yako mtu kwa 17m....tafuta toyota yoyote ya bei hio then ilinganishe na x-trail.
Magari kweli huyajui...hebu nambie Navara utafananisha na toyota gani kwa mfano....hilux?
 
Unaleta hadith za vijiweni, we ni pungu1 kabisa. Umewahi miliki gari wewe? mmezoea toyota, hivi mmerogwa? gari unaweza kaa nayo hata miaka 20 tatizo nini? acha uzuzu wewe, ka huna cash kaa kimya na I.S.T-like cars

Wewe kweli ni f,a.l.a kama una hela si ununue! Kichwa maji...
 
Wewe kweli ni f,a.l.a kama una hela si ununue! Kichwa maji...
Kuwa na hela na kuhitaji ni vitu viwili tofauti mkuu....ndio maana hata mimi title yangu nimeandika anayehitaji rather than mwenye hela...
 
​sio story za vijiweni mie nishakuwa na three different nissan models...so i know all about them...nissan ni majanga huwezi compare na toyota hata siku moja...never on earth.

Mimi.ni shahidi mzuri. Namiliki Nissan mwaka wa pili sasa sijanunua kifaa chochote zaidi ya kufanya service ya kawaida kila baada ya km 3,000.
Kabla ya hapo nilikuwa na Toyota Twincam ilikuwa inanisumbua sana hadi nikaiuza. Ilikuwa na km 70,000 tu lakini ilikuwa pasua kichwa. Fuel consumption kubwa, spea kuharibika kila wakati na pia kuibiwa vifaa ilikuwa kawaida kwenye toyota hadi nilipouza.
Tangu ninunue nissan hii febr 2012 haijawahi kuharibika kifaa chochote labda pancha.
Sikubaliani na wale wasemao Nissan ni mbovu hata siku moja. Nimekaa na nissan na toyota so nazijua zote. Nitakuwa wa mwisho kuihama nissan!
 
Nissan Xtrail ni moja kati ya magari imara, huu ni mwaka wa 3 nina Nissan Xtrail, zaidi ya Service za kawaida nilichokibadilisha ni Air Filter na nimeibadilisha baada ya kuiona imekaa sana lakini bado ilikuwa kwenye hali nzuri.

Hata Break Pads baada ya km kadhaa fundi akasema kwenye km kama 8,000 itabidi uzibadilishe, ilipofikia km 8,500 nilihamua kununua Break Pads mpya(genuine) za mbele na za nyuma lakini nilipoipeleka kwa fundi kucheki akakuta bado sana, yaani kama nusu ya pads ndio zimeondoka.

Kwa kufupi Nissan Xtrail ni moja ya magari imara sana
 
Why? Nyie ndo mnakurupuka hamjui hata magari..... xtrail ndo habari ya mjini sahivi...affordable, iko luxury na haili mafuta...sasa wewe unajua nini?

Mkuu umeshauza? Maana nimechelewa kuona tangazo la gari isiyokula mafuta, nadhani hata mihogo na magimbi inakula tu. Safi sana
 
naona mapovu yanawatoka hakuna mnunuzi mnajaza comnent. wakat mtu anataka kuuza gar
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom