Recent content by fairlady

  1. fairlady

    Kimini cha kitenge kitaniua mwenzenu

    Mie napendelea hv.
  2. fairlady

    Najua anajua kuwa najua anajua kuwa nampenda lakini hataki kujibu mawasiliano yangu

    Na wewe mchunie, atajileta tu mwenyewe, asipokutafuta potezea, itakua sio wako......may be anae mwingine.
  3. fairlady

    Wanaume wenye sura nzito, ngumu na chachu ndio huyajua sana mapenzi

    Mmh....mbona mi wangu ana sura nzuri yenye mvuto na anayamudu mapenzi vilivyo?
  4. fairlady

    Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

    Stori nzuri, ila sijaona sehemu yoyote kwenye stori ukieleza uwepo wa mtoto lakini kuna wadau wamekuuliza ukasema yupo, ana mwaka mmoja....maswali... 1. Je mtoto kipindi cha misukosuko mtoto alikuwa dar au korogwe? 2. Inaonyesha mtoto bado ananyonya (kuna sehemu umesema unajisikia vibaya...
  5. fairlady

    Nahisi mdogo wangu amerogwa

    Sio kwamba wewe ndio unamtamani huyo 'bibi' wa dogo?
  6. fairlady

    Kutoka mke mtarajiwa hadi mchepuko

    Kama imani (dini) yako inaruhusu kuwa na wake wawili, mkeo karidhia, na una mpenda kweli, utakuwa hupendelei upande mmoja, just go ahead and marry her. Ila hiyo stori ya 1 bill sijainunua bado!
  7. fairlady

    Nahitaji kurudi nyumbani

    Aiseeee
  8. fairlady

    Nimeshuhudia shem akisaliti

    Walikuwa wanadance pamoja afu waka kiss...kwenye shavu au lips? Kuna kingine uliwaona wanafanya? Kuchepuka maana yake ni nini? Ukute ni marafiki tu wa kawaida. Kama una wasiwasi ongea na shem wako umpe warning (ila usimwambie dada, ya ngoswe mwachie ngoswe)
  9. fairlady

    Hivi wadada under 30 mnatoa wapi magari mazuri kiasi hiki

    Unakuta mdada amemaiza chuo ana 23 yrs, akapata kazi kampuni inayolipa vizuri na bado yupo kwa wazazi (nao wapo vzr ki mapato), kiasi kikubwa cha mshahara ana_save, baada ya miaka 5 au 6 anapata kampuni nyingine nzuri zaidi, akichukua mafao yake ya nyuma jumlisha saving, gari zuri lazima apate...
  10. fairlady

    Msaada tafadhali: Nimezaa nje, lini nimweleze mke wangu?

    Hii sio kesi ya kwanza, haya mambo yapo, nina ushahidi kutoka kwenye familia yetu, yalimkuta pia kaka yangu kama haya, huoni kwamba hata mleta mada siri anayoificha inamuumiza kichwa hadi kaja kuomba ushauri? Kosa limeshafanyika, lakini maisha yasonge mbele. Ukificha dhambi inazidi kuzaa dhambi...
  11. fairlady

    Msaada tafadhali: Nimezaa nje, lini nimweleze mke wangu?

    Kwa hiyo aendelee kuficha siri? Huoni kwamba mtoto ana haki ya kujua ndugu zake? Hayo ni makosa ya wazazi, yasidhuru ukuaji na maendeleo ya mtoto. Mwanamke atakasirika lkn mwisho wa siku ukweli ndio huo @ Snowhite
  12. fairlady

    Msaada tafadhali: Nimezaa nje, lini nimweleze mke wangu?

    Mwambie mkeo, ukweli utakuweka huru,ila mtoto usimpeleke nyumbani kwako, mkeo atakuwa anakumbuka usaliti kila amuonapo, mpeleke kwa dada zako kama unao na mnaelewana vyema au kwa bibi (mama yako mzazi) Akifika darasa la nne mpeleke shule ya bweni (kama upo vizuri kifedha)
Back
Top Bottom