kimini uwe na mguu....subiri ukute mtu anatembelea mikono....
kweli demba mwanamke mguu na pua vingine vyote kwa mchina vipo
Safi sana na siku zote usikubali kuishi maisha ya watu
picha jamani, PICHAAA! wengine hatujawahi kuona kabsaa!
Sasa huyo akivaa mini si utamfuata mpaka anakoishia...suruali zina asavali...
hahahaha, mimi siyo mgonjwa kihivyo, kuna jamaa yangu yeye akiona michirizi tu nyuma ya goti basi na safari inaishia hapohapo! kweli suruwali asavali kidogo.
kimini uwe na mguu....subiri ukute mtu anatembelea mikono....
Ha ha ha labda ndio maana wanaita michirizi ya utamu...lol
si bora mkono, kitu mshikio wa ndoo....
si bora mkono, kitu mshikio wa ndoo....