Recent content by FAIRATTORNEY

  1. F

    Magereza ajira

    Hakuna ulemavu mbaya kama wa fikra, wala sio kosa lake huyo jamaa. Anaandamwa na ndoto mbaya mchana na usiku.
  2. F

    Magereza ajira

    Vitu visivyo na ratiba hivyo kaazi kweli.
  3. F

    Kuoa ni njia mojawapo ya kutaka vya bure

    Uhuru una mipaka yake, freedom does not mean free. Hata sheria inapompa mtu haki kwa mkono mmoja inampokonya kwa mkono mwingine. Sio kweli kusema kwamba kabla ya mifumo ya ndoa tuliyonayo eti mtu alikuwa anazaa na kila mwanamke. Dhana ya ndoa na heshma yake ipo tangu dahari hapa kwetu Afrika. Ni...
  4. F

    Penzi ndani ya ndoa tamu jamani

    Bila shaka ndoa mpya hii, kila tamu ina chungu yake. Hata biashara za tajiri wa kwanza wa dunia huwa zinapitia kipindi kigumu nyakati zingine.
  5. F

    Kuoa ni njia mojawapo ya kutaka vya bure

    Ungemuuliza kwanza babake anamjua? Mitoto inayozaliwa kwenye ugoni hii hainaga heshma kama namna ilivyokuja duniani.
  6. F

    Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

    Kama huingii kwenye sewage system basi kuna mwenzio anafanza hivyo huko nje.
  7. F

    Dogo amegoma kwenda shule

    Wasomi wenyewe washatosha tayari, hayo madegree ya arts/social sciences yana kazi gani tena kwenye soko la ajira?
  8. F

    Kaka yangu anataka kumuoa mchumba wangu, ameamua kwelikweli

    Ifikie kipindi watu mjiheshimu na muwe serious humu ili hii forum iwe ya kutegemeka linapokuja suala la mahusiano. Yani jitu linakurupuka na vihadithi vya kitoto tu then linafuraaaahi kuona watu wanavyotiririka kushauri. Tubadilike jamani.
  9. F

    Nina mashaka na majina ya usaili Jeshi la Polisi 2014

    No inawezekana jina na kozi ipo sawa, kwenye kuandika chuo mtu akapitiwa. So kama alivyosema mkuu hapo si vyeti vitaeleza ukweli, la msingi tu kozi iliyowekwa hapo ilitajwa kwenye tangazo.
  10. F

    Kuweni makini na nafasi zinazotangazwa na ZOOM, kuna utapeli

    Naye zilimuwasha tu hzo kilo 2, yani ana uwezo wa kufight laki mbili kumpa tapeli anashindwa kukoroga kichwa kubuni business?
  11. F

    Msimamo wa wazazi, unanitesa kwenye ndoa yangu

    Talaka haombwi mume, nenda mahakamani. (Na kama ni kweli) unayo kila sababu ya kupewa talaka (kisheria) coz uhanithi ni sababu mojawapo inayoweza kuifanya mahakama kuhalalisha kuvunjika kwa ndoa.
  12. F

    Nimfanyeje mpenzi wangu, nampenda sana

    Credit kwa huyo manzi wako sijui alisomea wapi namna ya kuacha. Akili kumkichwa ndugu yangu, unaweza usiamini kuwa mapenzi yamefika mwisho lakini ndio hali halisi. Hatuwezi kubisha kama unampenda & kiukweli am sorry for you sababu naweza kuguess ni namna gani unaumia, nakushauri tu chukua hayo...
  13. F

    Kwa nini JKT wanafanya hivi?

    Officer cadet hata raia wanakwenda bwana.
  14. F

    Kuna ubaya mwanamke akikuzidi kiuchumi?

    Haitakiwi kabisa na ni fedheha hata tukibisha, haitakiwi wife akuzidi kipato. Si tulimuona Gadner alivyokuwa anapelekeshwa na Jay dee hadi akaamua kujitaliki mwenyewe.
  15. F

    Wizi wa mume/mke

    Huwa napandwa na hasira nikisikia eti fulani kaiba mume/mke wa fulani. Unakuta kama ni bibie anakusanya shoga zake kadhaa waenda kufumania na kwenda kumtia adabu vilivyo "mwizi" huyo. Kama ni mwanaume na yeye akusanya mabest zake kadhaa mabaunsa kwenda kumtia adabu mwizi huyo na ikibidi...
Back
Top Bottom