Penzi ndani ya ndoa tamu jamani

Penzi ndani ya ndoa tamu jamani

Hiyo safi sana!!tena huwazi gharama ya kulipia lodge/hotel, vinywaji, chakula n.k!!safi sana Mkuu, hongera sana!
 
Aaah wapi....vya kuiba ndo vitamu balaa

muonee! Umezoea wizi tu. Njoo huku unakula vyako kilaini unakimiliki mwenyew wanakuita mama flan mwanamke mwenzio kama alikuwa na mpango wa kumkumbatia jamaa akikuona tu anafyata mkia ka mbwa koko..

Karibu ktk ulimwengu wa kulala bila chupi
 
Huko kaeni wenyewe mi nlishazoea vya wizi
 
Sina wasiwasi wa kuibiwa kwa vile game nampa la kutosha hata akitaka daily. Mawe nnayo ya kutosha wala hana shida ndogondogo za kurubuniwa kirahisi. Matatizo ya familia yake namaliza. watoto wanasoma shule imara. Labda wamvizie wambake. Mi mwanaume bwana!

wacha weee
 
Huko kaeni wenyewe mi nlishazoea vya wizi

shaur yako kila siku unaitwa mwanaharamu.. Nakwambia njoo uwe unalala bila kyupi kwangu unakuwa mbishi,,,, Lakn ukikubali kuwa mchepuko unatakiwa uwe mjuzi wa mambo usione kinyaa kushika mike
 
Yaani we acha tu. Mtu unamgegeda mkeo kwa raha zote, tena wala huvai mananihino kunako eti kuongopa ngoma wala nini. Yaani ni kutafuna tu pekupeku tena bila wasiwasi wowooote ule. Hata ukichunwa na mkeo wala huoni ubaya wake kwa vile anaendelea tu kustawisha mwili wake kwa ajili yako daima. Jamani nyie msiyooa tafadhalini sana njooni kwa pande hizi muinjoy mpaka basi. Karibuni sana.

Bila shaka ndoa mpya hii, kila tamu ina chungu yake. Hata biashara za tajiri wa kwanza wa dunia huwa zinapitia kipindi kigumu nyakati zingine.
 
Yaani we acha tu. Mtu unamgegeda mkeo kwa raha zote, tena wala huvai mananihino kunako eti kuongopa ngoma wala nini. Yaani ni kutafuna tu pekupeku tena bila wasiwasi wowooote ule. Hata ukichunwa na mkeo wala huoni ubaya wake kwa vile anaendelea tu kustawisha mwili wake kwa ajili yako daima. Jamani nyie msiyooa tafadhalini sana njooni kwa pande hizi muinjoy mpaka basi. Karibuni sana.

Tafiti zinasema "wanoongoza kwa maambukizi mapya ya UKIMWI ni wanandoa" usidhani kuoa ni kinga ya Ngoma. Furahia tu mambo mengine, lakini usidhani upo salama kwa UKIMWI.
 
pole pole wasikuskie umesema? mhhhh wew hujui tena siku ukija gundua analiwa na nan.??? we andika urithi mapema
Tena aache kabisa kujiamini mapenzi kitu kingine waeza tosheleza klakitu lakini mmmm
 
Mleta mada umepotea njia...
Humu habari kama hizi kwa wengi ni bad news...si unaona thread ilivyopokelewa na vijembe...
When it comes to marriage wanachotaka kusikia ni bad news tu....

Kama nawaona walivyonuna vile...lol
 
Chunga wasikuibie maana umemtangZa huyu wako kwamba mtamu wakati kuna wenye ndoa zao wanaona chungu. Na umetangaza kama nyumba za NHC

Nina mashaka sana huo muda!! Watoto na majukum yakishakusonga, hiyo mambo inakua normal sana!
 
Back
Top Bottom