Recent content by fagiolachuma

  1. F

    JamiiForums Tanzania Wanawake tunachoangalia........kwenye first date......

    Umeshawahi kuangalia "Coming to America", kwa vigezo vyako hivyo ungekosa Prince. Mke mwema haangalii rangi ya mkanda na viatu wala pesa inakaa wapi, lol!
  2. F

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana lakini aniamini nifanyeje

    Siku utakayojua gharama ya kuamini amini utanikumbuka. Labda ubahatike yasikukute, otherwise game ni ngumu na hawa wenzetu ni wasiri ukija jua ni too late bro!
  3. F

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana lakini aniamini nifanyeje

    Ni kweli hutokea naturally kabisa. Imani si kitu rahisi rahisi, si busara ku judge haya mambo kwa kuangalia upande mmoja. Huyo anaye lalamikiwa mnajua kiini hasa kinachomfanya asimuamini mtu wake? Mna details zozote za kuweza ku-balance hizo comments zenu? Afterall hakuna anayemjua mleta huu uzi...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Ni nini hasa sababu za usaliti katika ndoa?

    ni tabia ya mtu tuu kuwa muhuni,sasa kama mke wako anashindia kitenge na maswala ya kujiweka hovyo(kujiachia kupita kiasi ) cha msingi ni kumkumbusha khs kujiweka fresh na mambo yataenda fresh tuu. tukumbuke ukimwi upo jamani watanzania wenzangu,tusipoangalia tutakufa wote na hatakuwa na...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko kwa baadhi ya makamanda wa mikoa na vikosi

    Senso ni mwanamke.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Siasa ni Hesabu. Anayebisha Amuangalie Lowassa Halafu Awaulize Sitta na Nnape

    Ni kweli aisee watu wanaongelea ufisadi wasio na ushahidi nao, ipo haja ya kutenda haki mara mojamoja. Hizi hukumu za mitaani zinaifanya hii nchi iwe ya kihuni. Ni dhambi kuhukumu bila kufuata misingi ya mifumo stahiki tuliyojiwekea, kama unahisi hakuitendea haki nchi na una ushahidi wa hayo...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Top 5 ya urais 2015

    Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote, wote waliobaki ni either uwajibikaji wao kwenye nyanja za maamuzi hauna kipimo thabiti mpaka sasa or mwingine ameshaonesha kuwa ni mtekelezaji anayehitaji muongozaji.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kikwete bila Lowassa ndiyo maana amepwaya!?

    Mtu makini kwako ni nani, zaidi ya Lowasa? Una ushahidi wa hayo unayoongea? Uko tayari kuuwakilisha?
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kikwete bila Lowassa ndiyo maana amepwaya!?

    Ningechangia huu uzi ningeandika maneno yenye tofauti ndogo sana na ulichochangia, umenikuna sana.
  10. F

    JamiiForums Tanzania Dar: Mihadhara ya kidini yapigwa marufuku!

    Tunatumia keyboard kurusha drones (ndege zisizo na rubani kufanya maangamizi) uliza wenzio huko duniani kama wanatuona mtaani tukipambana nao, we wa wapi wewe?
  11. F

    JamiiForums Tanzania Picha: Yaliyojiri Dar na kwingineko Oktoba 19, 2012

    Ni kweli kabisa.
Back
Top Bottom