maju
Senior Member
- Oct 20, 2011
- 118
- 28
unamaana ndo maana walimwekea sumu kwenye damu mpaka akapata cancer na kufa ili watimize azma yao ya kuingiza genge la mafia ikulu? Style waliyoitumia kwa wabaya wao wengine, mwakyembe na mwandosya.Ukiangalia utaona mbinu hizi zinaendelea kutumika (Ulimboka) japo Rostam Aziz na ED L hawapo serikalini .which leaves only one prime suspect stll in office.JK na lowassa ni Boys 2 Men! wametoka mbali mno tangu mwaka 1995 walipotaka kugombea urais! Nyerere aliwachinjia baharini kwa sababu hawakuwa na sifa za kuwa rais.