Nampenda sana lakini aniamini nifanyeje

Nampenda sana lakini aniamini nifanyeje

Niko kwenye wakati mgumu sana ninaempenda aniamini hata kdg akiona niko online iwe fb, whats app na mitandao mengine anachanganyikiwa kabisa kwamba nachat nawanaume nishamwelewesha lakini wapi ata akinipigia cm bahati mbaya nisipopokea nikimwelewesha aniamini anahisi vibaya muda wote nifanyeje? mbona mm simfatilii kiasi hicho na namwamini hata nimwone online simwazii baya llte y me? nisaidieni wadau maana nahisi kumpoteza kwani ananifanya sina amani kila wakati ananilalamikia tu na wakati sina mahusiano yyte mengine zaidi yake.
Mna umri gani?? Nahisi kama ni vitoto vile!
 
jaman sijakutana nae mtandaoni ni wivu tu unamsumbua labda maana sijui tatizo ni nn

mazingira mliyokutana ndo yanamtesa,kama mlikutana through mitandaoni basi ana wasiwasi unaweza kukutana na mwingine, wivu ukizidi ni kero endelea kumuelewesha may be some day ataelewa, asipoelewa then akili kichwani mwako cause m/ume wa hivyo akikuoa anaweza kukuachisha hata kazi!
 
just leave him,coz u can't be married with sb who doesn't trust in u.mtagombana sn kwenye ndoa,bt akil za kuambiwa changanya na zako.n hayo tu.
 
Mtingishie kibiriti kidogo, ameshagundua unampenda ndo maana anakufanyia hivyo.
Hebu kata mawasiliano naye kwa wiki moja hivi uone kama hatojirudi mwenyewe.

ndo niko kwenye zoezi hilo kwani jana mm nilikuwa kazini nilipofika nyumbani kutoa cm nikakuta mic cal zake nikamcal akawa apokei badae akaniandikia msg ushatoka kwenye mambo yako ndomaana ulikuwa hupokei cm zangu nikajaribu kumwelewesha kwamba haikuwa hivyo bali sikusikia cm coz nilikuwa kwenye usafiri naludi hm akunielewa kanigombeza sna hd akanikatika cm so toka hiyo jana hakuna mawasiliano
 
password yangu ya fb anayo na mara nyingi anaingia kwenye ac yangu anachat na rafiki zangu wakijua ni mm mtu akiniita tu dia au wangu au mpz anamblock
Mpe password yako ya fb ili aone chart zako na jitahidi kupokea sim zake ili umuondoe wasiwasi?
 
password yangu ya fb anayo na mara nyingi anaingia kwenye ac yangu anachat na rafiki zangu wakijua ni mm mtu akiniita tu dia au wangu au mpz anamblock

Hee sas huyu mpime AIDS na akili pia siku ukiamua kuoana naye!
 
dah umenigusa sana kwakwel kwani usemacho nakiona mbele yangu nishajaribu kumuacha two times bt anajiludi na kusema anaomba nifuate anachotaka yy kama kumpa password zangu zote kitu ambacho nimefanya lakini haijasaidia kitu anataka nikitoka tu kazini nizime cm zangu mbili ibaki moja tu anayojua haina internet wala haina no za marafiki lakini bado haniamini.

Tupa kule akipata akili atakutafuta tena huku kakupigia magoti.. "there is a time for departure even if there's no other place to go"
 
ushauri umetulia.........kero sana pale mtu asipokuwa na imani nawe kila jambo unalofanya anapata wasiwasi hapo bado ndoa akikuoa na kazi unaachishwa wewe ni ndani kama utumbo sasa sijui huo ni wivu ama
umeona eeeh! yaani huyo hata umpe moyo wako bado hatakuamini, sasa utaishi maisha gani?
 
dah umenigusa sana kwakwel kwani usemacho nakiona mbele yangu nishajaribu kumuacha two times bt anajiludi na kusema anaomba nifuate anachotaka yy kama kumpa password zangu zote kitu ambacho nimefanya lakini haijasaidia kitu anataka nikitoka tu kazini nizime cm zangu mbili ibaki moja tu anayojua haina internet wala haina no za marafiki lakini bado haniamini.
na wewe unafanya hayo yote?
kama unayafanya kwa nini asikuamrishe anachotaka?
huyo atakupa KIZUNGUZUNGU tu..... source Erickb52
 
Last edited by a moderator:
ebana kumwamini mtu ni kitu kigumu sana aisee asikwambie mtu mimi mwenyewe inanisumbu mpaka basi hii kitu..maaana kivuli chako tu saaa zingine hua kinapotea sembuse mtu..halafu huwezi force kumwamini mtu hua inatokea tu naturally..

Ni kweli hutokea naturally kabisa. Imani si kitu rahisi rahisi, si busara ku judge haya mambo kwa kuangalia upande mmoja. Huyo anaye lalamikiwa mnajua kiini hasa kinachomfanya asimuamini mtu wake? Mna details zozote za kuweza ku-balance hizo comments zenu? Afterall hakuna anayemjua mleta huu uzi hata kama ni mwanamke kweli, ana tabia gani na makandokando kibao kumhusu unaaminije kile anacholeta hapa!! Be smart.
 
Mfundishe kujiamini
Niko kwenye wakati mgumu sana ninaempenda aniamini hata kdg akiona niko online iwe fb, whats app na mitandao mengine anachanganyikiwa kabisa kwamba nachat nawanaume nishamwelewesha lakini wapi ata akinipigia cm bahati mbaya nisipopokea nikimwelewesha aniamini anahisi vibaya muda wote nifanyeje? mbona mm simfatilii kiasi hicho na namwamini hata nimwone online simwazii baya llte y me? nisaidieni wadau maana nahisi kumpoteza kwani ananifanya sina amani kila wakati ananilalamikia tu na wakati sina mahusiano yyte mengine zaidi yake.
 
Jamaa ana gubu, watu wa dizain hzo mtakua na mapenz ya tetekuwanga kwenye ndoa yaan kila saa mtogombana
 
Back
Top Bottom