Recent content by fagio la chum

  1. F

    JamiiForums Tanzania Ruhusa Kwa Wafanyakazi wa Serikali kusafiri Nje ya Nchi

    SERIOUSLY???? this is very funny, ha! unaripoti kwa kipi hasa au wantaka kuwabana wezi wao?? manake mi sio tatizo ukienda nje ya nchi kwa private issue zako then uripoti ikulu???? kweli serikali inko na pesa, ina maana ataajiriwa mtu wa kuhakiki hivyo vibali tena sio mtu watu, upande mwingine wa...
  2. F

    JamiiForums Tanzania MAGUFULI na MWAKYEMBE tubuni dhambi hizi.

    watanzania tunapenda sana kuangalia nyuma tukiwa tunakimbia,usiangalie umejikwaa wapi kazania kurekebisha ili usijikwae tena, hakuna mwanadamu asiye na madhaifu hata wewe naamini yapo madhaifu yako ,hakuna mkamilifu hata mmoja. hawa mawaziri wawili kwakweli kwa namna moja au nyingine wamejaribu...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Jicho ndani ya ukumbi wa Bunge: Msuko wa Spika anaonekana mwaaaaa!

    wadau embu tuweke msuko wa madame pembeni tupeni mrejesho manongalia bunge kauli ya waziri wa ajir KUHUSU FAO la kujitoa
  4. F

    JamiiForums Tanzania Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar

    duh wewe unaonekana ni mmoja wao,mbona umekuwa mkali na matusi juu au ndo umekunywa maji ya bendera ya uamsho,husikii huambiwi.hizi jazba ndo zinawafikisha pabaya, "hasira hasara yakheee" tulia.mbona mnawachukua wabara hivyo wakti wapemba wamejaa kariakoo na hakuna mwenye shida nao, sijui nani...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Fareed wa UAMSHO apingana na dereva wake

    Licha ya kupingana na dereva wake, jamaa kuna vitu kijichanganya sana, anasema alipokuwa kwenye nyumba ya watekaji hakula chochote kwani hakuwaamini, SAWA! ila alikuwa anakunywa maji akienda msalani sasa ndugu huko msalani ulikunywaje maji wakti umesema ulikuwa umefungwa pingu na ulikuwa...
Back
Top Bottom