watanzania tunapenda sana kuangalia nyuma tukiwa tunakimbia,usiangalie umejikwaa wapi kazania kurekebisha ili usijikwae tena, hakuna mwanadamu asiye na madhaifu hata wewe naamini yapo madhaifu yako ,hakuna mkamilifu hata mmoja. hawa mawaziri wawili kwakweli kwa namna moja au nyingine wamejaribu kutimiza dhamana ya uongozi wao licha ya kukwamishwa na watendaji na VIJOGOO wanaotaka vyote kwa faida yao, embu tuangalie ni wizara gani zinajitahidi kutimiza malengo. hebu tujiulize ni miaka mingapi tanzania tunalalmika tatizo la maji na umeme wakati tumezungukwa na mito,maziwa bahari na chemichemi lakini hatuna maji safi.viongozi wanaimba kila siku KILIMO UTI WA MGONGO....AU UTI WA MCHONGO????? manake tunona waziri anatangaza ruzuku zinatolewa kwa wakulima,mara wakulima jiungeni mpewe matrekta hivi mlishawi kusikia mtanzania wa kawaida kafaidika na kilimo kwa kuwezeshwa an serikali.Jamni tuache lawama aliyetenda zuri tumpe sifa yake